Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

nn sasa maana ya usemi wa diamond kwenye comment yake ya ommy dimpoz? nanukuu" eti mtoto wa kiume kumchukia mwanaume mwenzake kisa kakataa kumpumulia! sasa nn maana ya comment hii jaman!!
 
Kiba mwenzie anajua kucheza karata[emoji23][emoji23]... anachokoza kwa style,Sasa Ommy yeye amekuwa na haraka..mwisho imemgeukia mwenyewe...
Kwenye hili namsifu sana Kiba,ye mambo yake Mara nyingi anaongea kwenye interviews na kama ulivyosema anachokoza kwa style,sasa mwenzangu kadandia treni kwa mbele,yani maji ataita mma! Dai bwana mswahilii sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]!!
 
Mziki wenu huu ulisha nishinda Mara moja moja nikichoka kuangalia highlight za football namtazama ben Paul msitarabu huyo kijana
 
Yaani huruma..
Ila simlaumu sana Dimpozi kwa maana malezi aliyokulia yamesababisha hayo yote.

Ommy alipata kusema kwamba hamjui baba yake,ila aliambiwa tu na mama yake kwamba baba yake alikuwa dereva wa magari makubwa yaani malori ambayo yalikuwa yanafanya Transit nchi mbalimbali kutokea huko Tanzania..

Na mama yake alikuwa mtu wa kuzunguka sana kwahiyo Ommy amelelewa sana na mtaa kuliko wazazi..huenda kukosa uangalizi wa wazazi wake akajikuta anaangukia kwenye vitendo hivi vya kusikitisha!!Poor Ommy[emoji22]
Pole zake, kama ilikua ni maisha si aache sasa au ndo imekua hobby
 
Kwenye hili namsifu sana Kiba,ye mambo yake Mara nyingi anaongea kwenye interviews na kama ulivyosema anachokoza kwa style,sasa mwenzangu kadandia treni kwa mbele,yani maji ataita mma! Dai bwana mswahilii sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]!!
[emoji23][emoji23]kiba anajua kwamba ukimjaza mtu upepo kwa haraka linageuka bomu ambalo linaweza likakuua..ndio maana anaenda taratiibu..
 
Back
Top Bottom