Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Haha haaaaaaa ilikua 2007 enzi hizo nipo form 1...nilikua naupenda sana,dah umenikumbusha mbali....😕😕

kuanzia kesho niamkie maana mi namaliza form six we form one niite tu dada)@nifah
 
Hebu nipishe kule... eti am already taken... huyo aliyekuchukua amekuchonga kwa kutumia mikono yake mwenyewe au alipeleka order kwa fundi seremala?

Hahahaaaaa lol...umenichekesha hatari...wewe mtu ni sheeedah haukubali kushindwa hata siku 1....
 
si unaona mambo hayo... cheki tunavyo-share interest! sasa oh, am taken... kama anakumiliki mwambie akugeuze uwe mgomba basi ale ndizi za bure.

Interest hiyo moja tu?sitaki kuzungumzia upande ule mwingine maana ndio kabisaa
 
Hahahaaaaa lol...umenichekesha hatari...wewe mtu ni sheeedah haukubali kushindwa hata siku 1....
Kushindwa ni tunu itolewayo na shetani... asilani Mungu atupendae hatakuja kumfanya mja wake kuwa ni mwenye kushindwa, kwa maana imeandikwa "Mvumilivu Hula Mbivu!" Na kwavile moja ya mambo aliyowajaalia waja wake ni moyo wa huruma na upendo, huku moyo huo akiwa ameujaza zaidi kwa wanadamu wa kike, basi sina shaka atakuzidishia maradufu moyo wako wa huruma na hivyo kutoa hifadhi kwa moyo wangu unaotapatapa... sema AMEEEN!
 
Interest hiyo moja tu?sitaki kuzungumzia upande ule mwingine maana ndio kabisaa
Si moja wala mia moja... nafsi yangu inaniambia interest zetu zaweza jaa kwenye vibaba zaidi ya elfu moja. Hayo mengine usiyotaka hata kuyazungumzia ndo yanayofanya mambo yanoge zaidi... hivi umeshapata kujiuliza how it'll look like siku nakufumania unakatika na kitu "My Number One?!" Yaani utakuwa kama hapa:
 
Last edited by a moderator:
Mama wema anataka mwanae aolewe na watu wenye hadhi zao na pesa zao kama CK, ndo maana ata yeye aliolewa na bolozi sepetu, chezeya

Aliolewa au hawara?? Ila kwa vile alizaa nae ni mume wake tu
 
Dinazarde umesikia umbea? Eti watu wanasema mama ubaya kadata kwa alikiba sasa ivi, mi sidhan maana wema anapendaga wanaume maarufu tu au wenye pesa sana, sasa kiba vyote hana maskini
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde umesikia umbea? Eti watu wanasema mama ubaya kadata kwa alikiba sasa ivi, mi sidhan maana wema anapendaga wanaume maarufu tu au wenye pesa sana, sasa kiba vyote hana maskini

Ahamie hata kwa Best naso ni yeye tuuu tena amyache domo salama asijemfanya kama kanumba alivyofanywaaa
 
Pia mimi nimesikia hii habari jamani...eti unasema Ali Kiba sio maarufu???
Labda umaarufu wa skendo chafu ndio atakua hana...ila kama ni kweli amuache mkaka wa watu ana kisichana chake kizuri kama nini huyo mama ubaya na mastrechmark yake haoni ndani...
 
yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia
 
Ahamie hata kwa Best naso ni yeye tuuu tena amyache domo salama asijemfanya kama kanumba alivyofanywaaa

Kuna wimbo wa best naso unaitwa HADIJA , nimeku dedicate binamu uisikilize vzur, tena idownload kama huna
 
Back
Top Bottom