Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Mia Mia mkuuYou're right.. wanapaswa kumchukulia kama mama tu tatizo ni pale mtu anapokuwa na damu chafu dhidi ya Wema basi ataihamishia hadi kwa Mama Wema kwa kigezo kwamba hajiheshimu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mia Mia mkuuYou're right.. wanapaswa kumchukulia kama mama tu tatizo ni pale mtu anapokuwa na damu chafu dhidi ya Wema basi ataihamishia hadi kwa Mama Wema kwa kigezo kwamba hajiheshimu...
Haha haaaaaaa ilikua 2007 enzi hizo nipo form 1...nilikua naupenda sana,dah umenikumbusha mbali....😕😕
Hebu nipishe kule... eti am already taken... huyo aliyekuchukua amekuchonga kwa kutumia mikono yake mwenyewe au alipeleka order kwa fundi seremala?
si unaona mambo hayo... cheki tunavyo-share interest! sasa oh, am taken... kama anakumiliki mwambie akugeuze uwe mgomba basi ale ndizi za bure.
Kushindwa ni tunu itolewayo na shetani... asilani Mungu atupendae hatakuja kumfanya mja wake kuwa ni mwenye kushindwa, kwa maana imeandikwa "Mvumilivu Hula Mbivu!" Na kwavile moja ya mambo aliyowajaalia waja wake ni moyo wa huruma na upendo, huku moyo huo akiwa ameujaza zaidi kwa wanadamu wa kike, basi sina shaka atakuzidishia maradufu moyo wako wa huruma na hivyo kutoa hifadhi kwa moyo wangu unaotapatapa... sema AMEEEN!Hahahaaaaa lol...umenichekesha hatari...wewe mtu ni sheeedah haukubali kushindwa hata siku 1....
Si moja wala mia moja... nafsi yangu inaniambia interest zetu zaweza jaa kwenye vibaba zaidi ya elfu moja. Hayo mengine usiyotaka hata kuyazungumzia ndo yanayofanya mambo yanoge zaidi... hivi umeshapata kujiuliza how it'll look like siku nakufumania unakatika na kitu "My Number One?!" Yaani utakuwa kama hapa:Interest hiyo moja tu?sitaki kuzungumzia upande ule mwingine maana ndio kabisaa
Kosa Vyote ila Si busara.
Mama wema anataka mwanae aolewe na watu wenye hadhi zao na pesa zao kama CK, ndo maana ata yeye aliolewa na bolozi sepetu, chezeya
Ndo vilee mama malaya mtoto malaya chezeya ila nasikia mama wema mtamu balaa, sijui kweli
Dinazarde umesikia umbea? Eti watu wanasema mama ubaya kadata kwa alikiba sasa ivi, mi sidhan maana wema anapendaga wanaume maarufu tu au wenye pesa sana, sasa kiba vyote hana maskini
Dinazarde umesikia umbea? Eti watu wanasema mama ubaya kadata kwa alikiba sasa ivi, mi sidhan maana wema anapendaga wanaume maarufu tu au wenye pesa sana, sasa kiba vyote hana maskini
Pia mimi nimesikia hii habari jamani...eti unasema Ali Kiba sio maarufu???
Labda umaarufu wa skendo chafu ndio atakua hana...ila kama ni kweli amuache mkaka wa watu ana kisichana chake kizuri kama nini huyo mama ubaya na mastrechmark yake haoni ndani...
nimekubaliwa leo..oyooo
yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia