CHAUMMA ulikuwa ni mradi mbaya kuwahi kutokea. Nadhani hata waliokwenda huko sasa hivi wanajilaumu na kusema ni bora wangeenda CCM. Hata Wenje angeenda CHAUMMA kama wangefanikiwa lakini alichezwa machale akaamua kusubiri na kupima upepo kwanza. Mwanamama kama yule Catherine uge alikuwa ni mwanasiasa mzuri sana lakini sasa hivi hasikiki hata kidogo. Nadhani ni suala la muda tu na yeye atakimbilia CCM.Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya.
Najua haitajiki na walio wengi, but time heals!
Akienda CCM ni uchuro!
Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
A very good observation. Catherine was very smart pady! Alikosa washauri au mahela waliyoahidiwa yalimchanganyà! Hivi bado wanafanya kampeni?CHAUMMA ulikuwa ni mradi mbaya kuwahi kutokea. Nadhani hata waliokwenda huko sasa hivi wanajilaumu na kusema ni bora wangeenda CCM. Hata Wenje angeenda CHAUMMA kama wangefanikiwa lakini alichezwa machale akaamua kusubiri na kupima upepo kwanza. Mwanamama kama yule Catherine uge alikuwa ni mwanasiasa mzuri sana lakini sasa hivi hasikiki hata kidogo. Nadhani ni suala la muda tu na yeye atakimbilia CCM.
She wasn't smart in the past, she isn't now and neither will she be in the near future.A very good observation. Catherine was very smart pady! Alikosa washauri au mahela waliyoahidiwa yalimchanganyà! Hivi bado wanafanya kampeni?
Halima mzee siku si nyingi
Siasa ni ajira MkuuSiasa Siyo Ajira Viongozi Wengi Wakisiasa Afrika Wanaangalia Matumbo Yao Tu
Chauma siyo mradi mbaya kwa CCM kama unaiangalia kwa mtazamo wa CCM. CCM wanacheza na hesabu za arithmetics (hesabu simple za kujumlisha na kutoa tu). Ukitoa Chadema unaweka Chauma; tayari unakua na ushahidi mbele ya wamataifa kwamba idadi ya vyama vya upinzani nchini bado ni kubwa na ni nzuri sana tu. Kinacho matter hapo ni idadi tu ya vinavyoitwa vyama vya upinzani. Siyo ubora wa chama. Halafu unaanzaje kusema Catherine Ruge ni mwanasiasa bora? Huyu hajawahi kushiriki fair competition mahali popote kisiasa akashinda.CHAUMMA ulikuwa ni mradi mbaya kuwahi kutokea. Nadhani hata waliokwenda huko sasa hivi wanajilaumu na kusema ni bora wangeenda CCM. Hata Wenje angeenda CHAUMMA kama wangefanikiwa lakini alichezwa machale akaamua kusubiri na kupima upepo kwanza. Mwanamama kama yule Catherine uge alikuwa ni mwanasiasa mzuri sana lakini sasa hivi hasikiki hata kidogo. Nadhani ni suala la muda tu na yeye atakimbilia CCM.
smart gani amejichumbua na mikorogo kenge tu yuleA very good observation. Catherine was very smart pady! Alikosa washauri au mahela waliyoahidiwa yalimchanganyà! Hivi bado wanafanya kampeni?
Halima mzee siku si nyingi
''Mataifa'' siyo wajinga kama unavyodhani.Chauma siyo mradi mbaya kwa CCM kama unaiangalia kwa mtazamo wa CCM. CCM wanacheza na hesabu za arithmetics (hesabu simple za kujumlisha na kutoa tu). Ukitoa Chadema unaweka Chauma; tayari unakua na ushahidi mbele ya wamataifa kwamba idadi ya vyama vya upinzani nchini bado ni kubwa na ni nzuri sana tu. Kinacho matter hapo ni idadi tu ya vinavyoitwa vyama vya upinzani. Siyo ubora wa chama. Halafu unaanzaje kusema Catherine Ruge ni mwanasiasa bora? Huyu hajawahi kushiriki fair competition mahali popote kisiasa akashinda.
Kuna watu wameenda mapema kama Upendo Peneza, Msigwa, sidhani kama kutakuwa na cha zaidi ya baada ya uchaguzi.CHAUMMA ulikuwa ni mradi mbaya kuwahi kutokea. Nadhani hata waliokwenda huko sasa hivi wanajilaumu na kusema ni bora wangeenda CCM. Hata Wenje angeenda CHAUMMA kama wangefanikiwa lakini alichezwa machale akaamua kusubiri na kupima upepo kwanza. Mwanamama kama yule Catherine uge alikuwa ni mwanasiasa mzuri sana lakini sasa hivi hasikiki hata kidogo. Nadhani ni suala la muda tu na yeye atakimbilia CCM.