Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

Hizi wiki zilizobakia kuelekea tar 29 kutatoa majibu
 
Wajinga wameenda kuharibu chama kubwa CHAUMMA, lilikuwa ni chama lenye nia ya dhati kuwashibisha ubwabwa watanzania na kupeleka maji ya Bahari kule Dodoma na kuleta midege ya umwagiliaji ingesambaa nchi nzima. Wametuharibia chama hawa wapuuzi
 
Dunia haina watu wapumbabu kama unavyoweza kufikiri. Wanajua kuwa kuna petty political parties affiated to CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…