Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Ilikuaje mpaka mkazaa nae tena, ulimsamehe??
 
hahahaa we jamaa kiboko sasa ulizaa nae kama mke au kimada? Kwa hivyo mleta uzi atazaa naye tena mtoto wa 5 hii itakuwa nzuri sana sababu jamaa anampenda sana wife wake
 
hahahaa we jamaa kiboko sasa ulizaa nae kama mke au kimada? Kwa hivyo mleta uzi atazaa naye tena mtoto wa 5 hii itakuwa nzuri sana sababu jamaa anampenda sana wife wake
Ahahahah..hapana hapana mkuu. Mi nimehama na mkoa kabisaa
 
Ilikuaje mpaka mkazaa nae tena, ulimsamehe??
Tukiachana tulikua na mmoja,baadae katika mawasiliano ya kumlea huyu mmoja,akaniambia sio vzr kuchanganya watoto kwanini tusizae tu awe na mdogo wake ,wawe wawili...unajua ile ndoa tuliachana still tukipendana bado,shetani alileta utata tu...baada ya kuachana kazini kwangu alikua anakuja,tuna hang tu pamoja...Yani sijui nini kilitokea,Yani ni sijui labda yeye anajua .
 
hahahaa we jamaa kiboko sasa ulizaa nae kama mke au kimada? Kwa hivyo mleta uzi atazaa naye tena mtoto wa 5 hii itakuwa nzuri sana sababu jamaa anampenda sana wife wake
Yule hata nilitaka leo nizae nae tena hana tatizo.
 
Umsamehe mwanamke msaliti?
 
Mkuu si utakuwa unaenda kusalimia watoto? ukifika anakupikia vizuri na anakukaribisha kuoga na anakupa chumba cha kulala huwezi chomoa hapo
Katika mambo naogopa kwenye maisha yangu, ni kulala nyumbani kwa mwanamke..sijawahi fanya hivyo hata siku moja..
 
So are you still hanging pamoja mpaka sasa??
 
Aisee ni hatar sana.
Nafikiri hata nisipowapima, hii inabidi nijiandae nalo. Japo hata nikiwapima nitafanya hivyo secretelly, nitajipa muda kwanza, na nitawapima hata baada ya divorce.
Yes unaweza kufanya kwa siri japo gharama itakuwa kubwa maana itabidi unafanye private, unaongea tuu na dokta anakuelekeza jinsi ya kuchukua sampuli kisha unapeleka unasubiri majibu ni vyema ukiwa proud unapambana kulea 💯 ukijua ni wa kwako, kwa sababu kwa ushenzi wa huyo mkeo unaweza lea weee afu watoto wakaja pewa baba zao halisi, ila kama unaona hilo jambo litakutafuna endapo majibu yatakuja tofauti bora uache kwa usalama wa afya yako ya akili. Ila unaonekana unamuogopa sana huyo mwanamke hivi huna dada zako wakorofi eeeh wampigishe kwata huyo mkeo. Nahisi hata kumpiga ulimpiga vibao viwili tuu ndo vinakupa heka heka zote hizo ila kama ulimshushia kipigo heavyweight 👏🏾👏🏾. Embu acha kumuogopa bhana kamwaga mboga mwaga ugali usiwe mnyonge sana bila hivyo ulevi,pressure na kisukari vitakutesa sana.
 
S
Kuna mdau mmoja hivi huku mtaani amenishauri hili suala..
Impilcation yake ni nini?
Huoni inaweza sababisha shuda zaidi na yeye kumpa advantage kuwa mimi ndio mwenye shida?
Shida ameshaileta yeye. Wewe nenda na mdada mkali kila siku ya kesi, iwe huyohuyo au kwa kubadilisha. Si anakusindikiza, hakuna tatizo lolote kisheria.
 
Mwanangu wewe ni MWANAUME Mimi nilishindwa na nadhani ningeshindwa ila ukiendelea na ukomavu huu mwenyezi Mungu atakulipia kwa namna utashangaa.
Mwanamke/mke akiwa mpumbuvu (malaya mshamba) anakuua kabisa
 
Hata mkiachana hakikisha unatuma matumizi ya watoto hata kama ni kiasi kidogo namna gani kadiri uwezavyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…