Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

Hata mkiachana hakikisha unatuma matumizi ya watoto hata kama ni kiasi kidogo namna gani kadiri uwezavyooo
Sijaacha, mapema january nimelipa fiz za wanangu wote waliopo shule kwa muhula wa kwanza..
Kwasasa nalipa ada tu mengine sifanyi kwakua sijui utaratibu wake wa maisha, sijui anapokaa wala sina mawasiliano nao, ila mara moja moja wanangu huwa huwa wanaazima simu za watu wananipigia. My first born girl is 14 now yuko kidato cha pili so huwa wanategea wakienda kanisani atanipigia simu na kuhakkkisha nimeongea na wadogo zake wote
 
Hata mimi nilijifanya kutuliza kichwa ikabaki kidogo niuwawe kabisa mwanamke wa hivyo ni kumwachia kila kitu na kutimua mbio mpaka soli iguse kisogoni.
😂😂 Pole. Sasa mwanamke anakusababishia shida mpaka unataka kuwa chizi hujamalizana nae unatafuta tena mwanamke mwingine haraka yote hiyo ya nini? Atulie amalizane nae kwa amani wanawake wapo tu.
 
Huyo wa kutafuta ni wakumvuruga tu kichwa ili aone yeye sio lolote yani kama ni mchezo wa chess hiyo kete tunaita the Knight , kete hii huchanganya kwa sababu huwa na uwezo wa ku shift muelekeo wa game🤣
 
Sasa akishamvuruga ndo inakuwaje mkuu? Huoni kuwa mkewe ndo atajua kumbe huyo ndo hasidi wake hata kabla hajaomba talaka?

Kwa vile mtoa mada ameshaamua kutulia kwa hizo hekaheka zote, na aendelee kutulia tu amalizane nae akapumzishe akili.

Kuambatana na mwanamke mwingine kunaweza kuibua hisia kali za hasira kukaibuka mambo mengine makubwa zaidi ya hili analoshauriwa hapa.
 
Hapo ni kuidanganya nafsi yako. Tena ukute kinachompa jeuri ashapata mwanaume mwingine haya wewe ndio uanze kumdorishia ati nawe una mtu mwingine huoni unageuka kichekesho?
 
Sasa akishamvuruga ndo inakuwaje mkuu? Huoni kuwa mkewe ndo atajua kumbe huyo ndo hasidi wake hata kabla hajaomba talaka?

Kwa vile mtoa mada ameshaamua kutulia kwa hizo hekaheka zote, na aendelee kutulia tu amalizane nae akapumzishe akili.

Kuambatana na mwanamke mwingine kunaweza kuibua hisia kali za hasira kukaibuka mambo mengine makubwa zaidi ya hili analoshauriwa hapa.
Asijaribu mtoa mada, azingatie hili
 
Back
Top Bottom