Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #301
Sijaacha, mapema january nimelipa fiz za wanangu wote waliopo shule kwa muhula wa kwanza..Hata mkiachana hakikisha unatuma matumizi ya watoto hata kama ni kiasi kidogo namna gani kadiri uwezavyooo
Kwasasa nalipa ada tu mengine sifanyi kwakua sijui utaratibu wake wa maisha, sijui anapokaa wala sina mawasiliano nao, ila mara moja moja wanangu huwa huwa wanaazima simu za watu wananipigia. My first born girl is 14 now yuko kidato cha pili so huwa wanategea wakienda kanisani atanipigia simu na kuhakkkisha nimeongea na wadogo zake wote