Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kwahiyo HZIBULA na HAMAS wanafanya biashara gani ya kumiliki silaha?Aise unauliza swali la kipuuzi sana. Hivi hata Mimi hapa nikitaka silaha nitakosa? Hii Dunia Kuna wauzaji na wanunuaji siku nyingine usiulize swali la kijinga namna hii nitakuzaba kofi
"Sir" imejipa cheo kikubwa sana kulinganisha na fikra zako.
Kwamba HAMAS wanakusanya kodi, wana viwanda, wana biashara au hujui HAMAS NI PROXIES WA IRAN?