Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Kufa ni kupoteza, na hakuna hero Gaidi. Gaidi ni Gaidi.

Muhimu hapo ni kujaza nafasi yake iliyo wazi, ukipenda nenda uichukue.
Kama kufa ni kupoteza basi Kila mtu hapa duniani kapoteza maana atakufa. Halafu rekebisha hapo Sinwar ni Freedom fighter a man Died fighting for his motherland. Wale wa upande wa pili wanakufa na pampas Zina mavi matakoni.
 
Pale alipokuwa anarushia drone fimbo ndio alikuwa anapigana?
Yule mwamba pale ilikua ndo anakata roho dakika chache nyuma alikua na AK 47 kawaua wavaa pampas kama wanne hivi wakiwa na mavi Yao matakoni nao wamemsindikiza huko kwa baba. Unaambiwa vifaru na missiles pamoja na drone zimetumika ndo mpaka roho ya mwamba inatoka.
 
Kama kufa ni kupoteza basi Kila mtu hapa duniani kapoteza maana atakufa. Halafu rekebisha hapo Sinwar ni Freedom fighter a man Died fighting for his motherland. Wale wa upande wa pili wanakufa na pampas Zina mavi matakoni.
Freedom fighter kivipi, huyo ni Gaidi.

Huwezi kugombea uhuru kwenye shamba na ardhi ya Jirani Yako.
 
Israel Hana Haki ya kuchukua ardhi ya wapalestina. Jirani gani kaja mwaka 1948 mpaka Leo anazidi kuwasukumia nje wapalestina achukuwe nchi yote peke yake.
 
The man Died fought for his Land . Hayo ya kubakana ni uzushi wenu waswahili
Land wamepewa wakakataa, wakaamua kuua ili waende kula bikra 72.
Wao ni kuifuta Israel, ndio mpango, hawataweza wameungana na Urusi, Korea, China na bado wanatolewa makushabu.
 
Acha uongo Urusi china na Korea waingie hapo Kuna kitu kitabaki? Hezbollah to na Houth wanawatoa jasho. Ungejiuliza tu marekani na ulaya waisaidia Israel mbona mpaka Leo Gaza wapo wayahudi zaidi 100 wameshindwa kuwakomboa? Hezbollah anaendelea kumwaga moto
 
Israel Hana Haki ya kuchukua ardhi ya wapalestina. Jirani gani kaja mwaka 1948 mpaka Leo anazidi kuwasukumia nje wapalestina achukuwe nchi yote peke yake.
Ibrahim aliinunua ardhi yote Kwa cash,

Mrithi ni Israel, Jackob, Si Ishmael mtoto wa mjakazi.

Palestine na Gaza yote itarudishwa kuwa Mali ya Israel.

Tunisia ndipo watahamia hao wapalestina.
 
Acha uongo Urusi china na Korea waingie hapo Kuna kitu kitabaki? Hezbollah to na Houth wanawatoa jasho. Ungejiuliza tu marekani na ulaya waisaidia Israel mbona mpaka Leo Gaza wapo wayahudi zaidi 100 wameshindwa kuwakomboa? Hezbollah anaendelea kumwaga moto
HAMAS naHizbula wanatoa wapi silaha? Wale ni Wanajeshi wanapata wapi bajeti ya Silaha?
Dah, nenda hata elimu ya watu wazima au MEMKWA uweze kuelewa.
Ingekuwa ni Lebanon kama nchi inapigana Israel leo si ingesha futika?
Hujiu hata wananchi wa Lebnon hawawataki Waislamu wa Hizbula?
 
Ibrahim aliinunua ardhi yote Kwa cash,

Mrithi ni Israel, Jackob, Si Ishmael mtoto wa mjakazi.

Palestine na Gaza yote itarudishwa kuwa Mali ya Israel.

Tunisia ndipo watahamia hao wapalestina.
Alinunua sh.ngapi? Mashahidi walikua wakina nani? Alinunua kwa nani?msituletee stori za kufikirika kwenye reality aise kujustify ushenzi wa wavamizi
 
HAMAS naHizbula wanatoa wapi silaha? Wale ni Wanajeshi wanapata wapi bajeti ya Silaha?
Dah, nenda hata elimu ya watu wazima au MEMKWA uweze kuelewa.
Ingekuwa ni Lebanon kama nchi inapigana Israel leo si ingesha futika?
Hujiu hata wananchi wa Lebnon hawawataki Waislamu wa Hizbula?
Aise unauliza swali la kipuuzi sana. Hivi hata Mimi hapa nikitaka silaha nitakosa? Hii Dunia Kuna wauzaji na wanunuaji siku nyingine usiulize swali la kijinga namna hii nitakuzaba kofi
 
Back
Top Bottom