Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.

Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

Sinwar ameingia katika uongozi na kukataa zaidi ya mara tati sasa mapendekezo ya US, Egypt na Qatar katika usuluhisho ambao inaonekana ku favor Israel.

Alipoiingia Sinwar Hezbollah ni kama wametiwa mafuta kwenye moto hawapoi ni kumwaga moto tu

Hakika Hamas mmepata kiongozi atakae wavusha. Kamanda Yahya Sinwar.

View attachment 3080047
Huu uzi wa kijinga ulinipitaje huu! Jeuri za kipumbavu tu mepesi kama pamba.
 
Vipi mbona unaropokwa. Unashangaa kifo?
Screenshot_2024-10-18-16-31-27-978_com.twitter.android.jpg
 
Back
Top Bottom