Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.

Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

Sinwar ameingia katika uongozi na kukataa zaidi ya mara tati sasa mapendekezo ya US, Egypt na Qatar katika usuluhisho ambao inaonekana ku favor Israel.

Alipoiingia Sinwar Hezbollah ni kama wametiwa mafuta kwenye moto hawapoi ni kumwaga moto tu

Hakika Hamas mmepata kiongozi atakae wavusha. Kamanda Yahya Sinwar.

View attachment 3080047
Baada ya kuwahishwa mbinguni hali ikoje huko?
 
Screenshot_2024-10-18-08-28-31-140_com.google.android.googlequicksearchbox~2.jpg

Yaani Israel itishwe na hiko kikaragosi, kikikaa kindezi kitaungana na wale mabikra 72
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Jiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa Tarehe 11 - 20/10/2024 ili uweze kushiriki Uchaguzi.
 
... Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.
... kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

1729238943495.png
 
Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.

Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

Sinwar ameingia katika uongozi na kukataa zaidi ya mara tati sasa mapendekezo ya US, Egypt na Qatar katika usuluhisho ambao inaonekana ku favor Israel.

Alipoiingia Sinwar Hezbollah ni kama wametiwa mafuta kwenye moto hawapoi ni kumwaga moto tu

Hakika Hamas mmepata kiongozi atakae wavusha. Kamanda Yahya Sinwar.

View attachment 3080047
Hizi zilikuwa akili za madrasa au? Au ulijitoa ufahamu tu ukaandika?
 
Kafa kiume huyo .kufia vitani siyo jambo dogo eti
Si uliandika hivi lakini?

... Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.
... kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.
 
Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.

Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

Sinwar ameingia katika uongozi na kukataa zaidi ya mara tati sasa mapendekezo ya US, Egypt na Qatar katika usuluhisho ambao inaonekana ku favor Israel.

Alipoiingia Sinwar Hezbollah ni kama wametiwa mafuta kwenye moto hawapoi ni kumwaga moto tu

Hakika Hamas mmepata kiongozi atakae wavusha. Kamanda Yahya Sinwar.

View attachment 3080047
Nyoko
 
Kuna maneno netanyau aliyatumia kuonyesha jamaa kaliwa kichwa,nimeyasahahu.
 
Back
Top Bottom