Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.

Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

Sinwar ameingia katika uongozi na kukataa zaidi ya mara tati sasa mapendekezo ya US, Egypt na Qatar katika usuluhisho ambao inaonekana ku favor Israel.

Alipoiingia Sinwar Hezbollah ni kama wametiwa mafuta kwenye moto hawapoi ni kumwaga moto tu

Hakika Hamas mmepata kiongozi atakae wavusha. Kamanda Yahya Sinwar.

View attachment 3080047
Ngapi ngapi matokeo uko
 
Hahaha kwema mkuu?
 
Haijawa confirmed ila hata kama wamemuua vita haitasimama
Kwahiyo Israel ndio itapata tabu sana wakati Sinwar ameuwawa
20241017_184135.jpg
 
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
 
Tabu ipo pale pale alipokua hai na hata sasa hayupo
Viongozi wengi sana wa Hamas kabla ya Sinwar wameuawa na Israel ila bado Hamas haikusambaratika sana sana alipatikana mrithi mpya.

Ndivyo itakavyokuwa pia hata sasa, suluhisho la huu mzozo ni taifa huru la Palestine kuanzishwa na ukaliaji wa ardhi yao kimabavu ukome.
 
Viongozi wengi sana wa Hamas kabla ya Sinwar wameuawa na Israel ila bado Hamas haikusambaratika sana sana alipatikana mrithi mpya.

Ndivyo itakavyokuwa pia hata sasa, suluhisho la huu mzozo ni taifa huru la Palestine kuanzishwa na ukaliaji wa ardhi yao kimabavu ukome.
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
 
Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.

Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine.

Sinwar ameingia katika uongozi na kukataa zaidi ya mara tati sasa mapendekezo ya US, Egypt na Qatar katika usuluhisho ambao inaonekana ku favor Israel.

Alipoiingia Sinwar Hezbollah ni kama wametiwa mafuta kwenye moto hawapoi ni kumwaga moto tu

Hakika Hamas mmepata kiongozi atakae wavusha. Kamanda Yahya Sinwar.

View attachment 3080047
Soma tena post yako, hongera kwa Hamas kuwa na mwamba huyu.
 
Back
Top Bottom