Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

Aise unauliza swali la kipuuzi sana. Hivi hata Mimi hapa nikitaka silaha nitakosa? Hii Dunia Kuna wauzaji na wanunuaji siku nyingine usiulize swali la kijinga namna hii nitakuzaba kofi
Kwahiyo HZIBULA na HAMAS wanafanya biashara gani ya kumiliki silaha?
"Sir" imejipa cheo kikubwa sana kulinganisha na fikra zako.

Kwamba HAMAS wanakusanya kodi, wana viwanda, wana biashara au hujui HAMAS NI PROXIES WA IRAN?
 
Hamna ka video kakusindikiza shehe john robert kinachomuonesha mwamba akiwa na mjegeje kama rambo?
 
Kwahiyo HZIBULA na HAMAS wanafanya biashara gani ya kumiliki silaha?
"Sir" imejipa cheo kikubwa sana kulinganisha na fikra zako.

Kwamba HAMAS wanakusanya kodi, wana viwanda, wana biashara au hujui HAMAS NI PROXIES WA IRAN?
Ngoja nikupe shule kidogo. Hezbollah kwanza wapo Serikalini ni chama cha siasa huko Lebanon , Hamas Wana donors wengi sana ambao wanawapa fedha pia wapalestina walioko nje wanaisaidia nchi Yao katika mapambano dhidi ya uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…