Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #21
Ingekuwa hawapendi mambo mengi wala hii dua wasingefanya mwaya, ila wameifanya na list imejaa wawakilishi kibao ila Yanga tu ndio hawapo!Kama Yanga walimsomea dua, na familia kwenye hili tukio hawajataka msemaji special kutoka Yanga inaonesha tatizo halipo kwa Yanga bali kwa Familia
Mnakuza tu mambo!
Matajiri huwa hawapendi mambo yawe mengi kugandana.
Kutaka msemaji mmoja kutoka upande wa sport mbona inatosha?
Maskini ndio wanatakaga kila kikundi alichokuwepo marehemu atoke mtu kuongea kitu ambacho matajiri hawana