Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni ndugu zako Mkuu na mimi sijawaongelea wao, na sijakuongelea wewe kutokwenda msibani vilevile.Waache midomo ya Kike, mtu akifa azikwe tu si lazima dunia nzima tukaushangae msiba.
Mambo ni mengi watu tushaquit mazishi ya ndugu wa karibu kwa sababu nyepesi kabisa "Ubusy " sembuse wabia wa biashara.
Mbona sijakuquote, sijakujibu wewe vile vile.Hao ni ndugu zako Mkuu na mimi sijawaongelea wao, na sijakuongelea wewe kutokwenda msibani vilevile.
Kucheka tu, siku ingine ureply kistaarabu sasa.Thread nimeianzisha mimi lakini, nawajibika kwa kila reply 😂😂
Yanga hatupo mjini au huna khabari?Haijalishi, kitendo cha familia kutokuitaja Yanga kwenye ratiba yao ni doa tayari. Wajitafakari.
Umekwenda mbali sasa....ww tuchambe hapo kuto kwenda msibani lkn usiwaingize makolo kwenye anga zetuWengi wameshangazwa Mkuu, hadi mashabiki wa Simba wameumizwa.
Kwamba tokea msiba ulipotangazwa wiki iliyopita? Na kwa mtu aliyefanya makubwa kwa Yanga kumpa heshima yake mbona siku moja tu ingetosha sana? Kwa hili tuambizane ukweli ushabiki tuuweke pembeni.Yanga hatupo mjini au huna khabari?
Wenzetu wanalea watoto kufuata nyayo zao, kuanzia Manji kwa baba yake na sasa wanawe kwake.Nimependa hao madogo, wataibeba sana kampuni yao maana haonekana wana akili sana.
Ngozi nyeusi tujifunze kitu
Wakala wa Makolo wanadhani kuleta chokochoko hivi wataiyumbisha YangaMbona kwny pages zao kila siku wanatoa makala fupi kumhusu Manji. Ameshahojiwa Ngasa na Mtu wa benchi la ufundi. Na kuhusu dua mbona ilitangazwa kwmb Yanga watashiriki na azam tv itarusha live ktk ukumbi wa diamond jubilee
Wafanya biashara..Ni viongozi waliopo hivi sasa pale Yanga, sio Yanga.