Baada ya Yanga kujitenga, Familia ya Yusuph Manji yahitimisha msiba bila ya Yanga!

Ww hujui sina maana tamasha ka mziki wanaweza fanya hata tamasha la heshima kwa ajiri ya manji maana ushiriki wao ulikua hafifu kwenye msiba na kumbuka yanga ina mashabiki wengi huwezi fanya jambo kama hilo likawa dogo lazima liwe kama tamasha.Harafu mm sio masikini nimeshajitafuta nikajipata long time.
Tatizo ninaloliona hapa jamaa hajui maana ya tamasha halafu ujuaji mwingi, hajui kuna hadi matamasha ya maombi.

Mi nimekuelewa sana Mkuu, tuko pamoja katika hili.
 
Hawa ndio wale walikuwa wanatoa povu wakiona mtu ame-like taarifa ya msiba.
 
Nyinyi ni wachawi na wanga wakubwa. Nani asiejua huyo injinia wa mchongo alivyo na roho mbaya sana na chuki kali sana kwanza kwa simba na kwa watu ambao wamemzidi uwezo
 
Yeyote anae kumbuka ama alikuwepo enzi za manji lazima aumizwe na kifo cha yule mwamba mm mwenyewe ni simba ila manji alifaa apewe maua yake..Yanga mmesahau mlikua mnaitwa omba omba manji mpaka anawalipia kadi za uwanachama na mechi nyingine ananunua tiketi zote muingie bureee leo hata kufanya tamasha la kumuenzi mmeshindwa fakeni kabisa nyie ..watu wanafiki sana mmeonesha uswahili wa hali ya juu mbuzi nyie.....inauma sana nikikumbuka amsha amsha za Manji mara awapeleke uturuki wachezaji ahaaa#$$%#$
Hii laana itawatafuna na ubingwa watausikia kwenye bomba miaka mitano MAMAEH.
 
Nyinyi ni wachawi na wanga wakubwa. Nani asiejua huyo injinia wa mchongo alivyo na roho mbaya sana na chuki kali sana kwanza kwa simba na kwa watu ambao wamemzidi uwezo
Hayo ni yako binafsi sasa, mimi hapa naongelea ametuangusha kama kiongozi wetu pale Yanga na sio vinginevyo.
 
View attachment 3035616
Ndugu wanajukwaa, leo familia ya Manji wamehitimisha msiba wa mpendwa wetu Yusuph Manji uliotokea Jumamosi ya wiki iliyopita kwa Dua maalumu iliyosomwa na viongozi mbalimbali wa kidini wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika viwanja vya Karimjee.

Katika jambo lililowashangaza wengi ni ratiba rasmi ya dua hiyo iliyotolewa na familia hiyo ya Manji kutokuonekana kwa Klabu ya Yanga ambayo marehemu aliifadhili kwa miaka mingi!

Ratiba imeweka wazi kwamba atakuwepo mwakilishi kutokea tasnia ya mpira na sio kama ambavyo ilipaswa kuwepo Yanga, mwakilishi kwenye soka anaweza kuwepo yeyote hata kutokea kwa watani zetu, Simba.

View attachment 3035619View attachment 3035620

Yanga, tumefikaje hapa?
Hadi familia kufikia hatua hii lawama zote wanabeba uongozi wa Yanga chini ya Eng. Hersi. Tokea kutangazwa kwa kifo cha Manji macho yetu tulio wengi yaliigeukia Yanga, kinyume na matarajio ya tulio wengi Yanga walitoa pole kwa familia pekee kisha wakaendelea na mambo mengine bila kuupa uzito msiba huu wa kiongozi muhimu zaidi kutokea kwenye historia ya mpira nchi hii.

Hersi na wenzio, mnajua kwamba hadi leo hii hakuna mwekezaji yeyote aliyefadhili klabu yoyote kwa pesa zake mwenyewe bila nia ya kujineemesha kibiashara zaidi ya Manji?

Mnajua kwamba hadi sasa ufadhili wenu GSM hapo Yanga haujafikia hata nusu tu ya aliyoyafanya Manji kwa Yanga bila shinikizo wala mabandiko ya bidhaa zake kwa kutumia nembo ya Yanga?

Kwanini mmemtenga Manji kiasi hiki? Mnafikiri yote haya aliyoyafanya mtatusahaulisha kwa kuupuza msiba wake? Manji aliwakosea nini hadi kuvunjiwa heshima aliyoijenga kwa dhati hapo Yanga? Kweli Manji anafariki hadi kuzikwa na hadi leo hii dua hamjihusishi kwa lolote?

Mashabiki wenzangu tumemwamngusha Manji!
Tukiachana na GSM ambao wana maslahi yao binafsi tofauti na sisi wapenzi na mashabiki wa Yanga, pia tunabeba lawama.

Kwanini tulishindwa kuushinikiza uongozi kumuenzi Manji baada ya kuona wameupuuza msiba wa Mwananchi mwenzetu? Leo hii tumesahau alikotutoa Manji? Popote linapotajwa jina la Manji Yanga haikosi kuwepo, kwanini tumeshindwa kumpa heshima? Tumekosa fadhila kiasi hiki kwa mtu aliyetutoa kwenye mabakuli na kutupa heshima tulipokuwa dhalili?

Nimeumizwa sana, lakini nimekatishwa tamaa na uongozi niliouona makini na kuusifu mara nyingi waziwazi chini ya Hersi. Huu ni udhalimu na hakika Manji hatotusamehe!

Nikitokea hapa Karimjee, ndimi mnazi wa Yanga niliyeumizwa…

Nifah
Labda walishiriki katika ile kadhia ya kupimwa mkojo hivyo wanaona aibu!
 
Ulitaka Yanga wafanyeje? Last Friday walikutana club na kufanya dua kumuombea......acheni lawama bila ushahidi
Screenshot_20240708-021536.png
 
Umasikini ni aghari, waswahili kila kukicha mnajikomba kwa wahindi na waarabu ambso hawana habari na ninyi. Kwenye misiba mnajazana ili mkale mapochopocho ya wahindi na waarabu, kwenye misiba yenu hao mnaojikomba kwao hawaonekani hata kama mnafanya kazi pamoja, na huko kwenye misiba yao wanawatenga wakihofia mtawaibia.
 
Mkuu, hii thread sijawaongelea wahindi na waarabu wa mtaani kwenu, hapa namuongelea Yusuph Manji aliyekuwa kiongozi na mfadhili wa Yanga kwa takribani miaka 10, get your facts right.
 
View attachment 3035616
Ndugu wanajukwaa, leo familia ya Manji wamehitimisha msiba wa mpendwa wetu Yusuph Manji uliotokea Jumamosi ya wiki iliyopita kwa Dua maalumu iliyosomwa na viongozi mbalimbali wa kidini wakiongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika viwanja vya Karimjee.

Katika jambo lililowashangaza wengi ni ratiba rasmi ya dua hiyo iliyotolewa na familia hiyo ya Manji kutokuonekana kwa Klabu ya Yanga ambayo marehemu aliifadhili kwa miaka mingi!

Ratiba imeweka wazi kwamba atakuwepo mwakilishi kutokea tasnia ya mpira na sio kama ambavyo ilipaswa kuwepo Yanga, mwakilishi kwenye soka anaweza kuwepo yeyote hata kutokea kwa watani zetu, Simba.

View attachment 3035619View attachment 3035620

Yanga, tumefikaje hapa?
Hadi familia kufikia hatua hii lawama zote wanabeba uongozi wa Yanga chini ya Eng. Hersi. Tokea kutangazwa kwa kifo cha Manji macho yetu tulio wengi yaliigeukia Yanga, kinyume na matarajio ya tulio wengi Yanga walitoa pole kwa familia pekee kisha wakaendelea na mambo mengine bila kuupa uzito msiba huu wa kiongozi muhimu zaidi kutokea kwenye historia ya mpira nchi hii.

Hersi na wenzio, mnajua kwamba hadi leo hii hakuna mwekezaji yeyote aliyefadhili klabu yoyote kwa pesa zake mwenyewe bila nia ya kujineemesha kibiashara zaidi ya Manji?

Mnajua kwamba hadi sasa ufadhili wenu GSM hapo Yanga haujafikia hata nusu tu ya aliyoyafanya Manji kwa Yanga bila shinikizo wala mabandiko ya bidhaa zake kwa kutumia nembo ya Yanga?

Kwanini mmemtenga Manji kiasi hiki? Mnafikiri yote haya aliyoyafanya mtatusahaulisha kwa kuupuza msiba wake? Manji aliwakosea nini hadi kuvunjiwa heshima aliyoijenga kwa dhati hapo Yanga? Kweli Manji anafariki hadi kuzikwa na hadi leo hii dua hamjihusishi kwa lolote?

Mashabiki wenzangu tumemwamngusha Manji!
Tukiachana na GSM ambao wana maslahi yao binafsi tofauti na sisi wapenzi na mashabiki wa Yanga, pia tunabeba lawama.

Kwanini tulishindwa kuushinikiza uongozi kumuenzi Manji baada ya kuona wameupuuza msiba wa Mwananchi mwenzetu? Leo hii tumesahau alikotutoa Manji? Popote linapotajwa jina la Manji Yanga haikosi kuwepo, kwanini tumeshindwa kumpa heshima? Tumekosa fadhila kiasi hiki kwa mtu aliyetutoa kwenye mabakuli na kutupa heshima tulipokuwa dhalili?

Nimeumizwa sana, lakini nimekatishwa tamaa na uongozi niliouona makini na kuusifu mara nyingi waziwazi chini ya Hersi. Huu ni udhalimu na hakika Manji hatotusamehe!

Nikitokea hapa Karimjee, ndimi mnazi wa Yanga niliyeumizwa…

Nifah
Rip Manji...
 
Back
Top Bottom