Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Wamekosea viongozi, hata kama walikuwa wametofautiana. Watu ikitokea mauti huungana. Ameshatangulia, haitawapunguzia chochote kwenye biashara zao.
Manji ni Yanga na Yanga ni Manji, alitutoa shimoni baba wa watu. Tunamuombea apumzike mahala pema, peponi. Amina.
Manji ni Yanga na Yanga ni Manji, alitutoa shimoni baba wa watu. Tunamuombea apumzike mahala pema, peponi. Amina.