Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Nipo pamoja na wewe Nifah, hili ni tukio muhimu linastahili attention zaidi ya kutoa pole. Mkutane Jangwani bana.Hatuwezi kutegemea lolote la maana kutoka kwako katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo pamoja na wewe Nifah, hili ni tukio muhimu linastahili attention zaidi ya kutoa pole. Mkutane Jangwani bana.Hatuwezi kutegemea lolote la maana kutoka kwako katika hili.
Kila nafsi itaonja umauti Mkuu, hongera kwa kwenda kwenye dua ya kiongozi wetu.Nipo hapa tushakula ubwabwa..tunaondoka. hivi marehemu si alikuwa anakesi mahakamani na bakwata wakigombea Ardhi iliishia wapi ..? Nakumbuka ule ugomvi hadi marehemu R.Mengi aliingia kati .. Ardhi inabeba watu .. ardhi uliyogombea ndio inayokumeza
Nimeguswa sana kama wale wananchi wake juu ya Mama Samia 🤣🤣Why Lucas Mwashambwa ??🤣🤣🤣
Manji hawezi kupita kama hakuwepo laZima tumuenzi aiseee.Kama kumuenzi tu kwa kuupa heshima stahiki msiba wake pale Klabuni wameshindwa ndio yaje kuwa hayo makubwa? Labda waone aibu baada ya watu kupiga kelele.
Kwa hiyo kwa heshima ya Manji unaona hivyo ni sawa? Unajua hapa tunamuongelea Manji na sio Mzee Akilimali?Mbona kwny pages zao kila siku wanatoa makala fupi kumhusu Manji. Ameshahojiwa Ngasa na Mtu wa benchi la ufundi. Na kuhusu dua mbona ilitangazwa kwmb Yanga watashiriki na azam tv itarusha live ktk ukumbi wa diamond jubilee
Upo sahihi.Kama Yanga walimsomea dua, na familia kwenye hili tukio hawajataka msemaji special kutoka Yanga inaonesha tatizo halipo kwa Yanga bali kwa Familia
Mnakuza tu mambo!
Matajiri huwa hawapendi mambo yawe mengi kugandana.
Kutaka msemaji mmoja kutoka upande wa sport mbona inatosha?
Maskini ndio wanatakaga kila kikundi alichokuwepo marehemu atoke mtu kuongea kitu ambacho matajiri hawana
Na kikubwa ni kwamba alifanya kwa mapenzi yake kwa timu sio uwekezaji, lazima tumuenzi.Manji hawezi kupita kama hakuwepo laZima tumuenzi aiseee.
Nikikumbuka Ile
kampa kampa tena.
Sajili kubwa alizifanya tukashinda.
Uwanjani alilipia mashabiki masikini waliingia Bure.
Team yetu ilipata vikombe na heshima kubwa.
Kwa mapenzi yake tu
Ni vigumu, Manji aliipenda mno Yanga ndio maana nasema hatotusamehe kwa jinsi tulivyomtenga!Pale yuko Amiss Tambwe
Kule yupo Mbuyu Twite
Kati yupo Niyonzima
Pembeni yake yuko Donald Ngoma.
Manji kaleta hadi Wabrazil Pale
Kalipia uwanja mzima Wanayanga waingie mechi fulani bure.
Tutaanzaje kumsahau mtu kama huyu aisee?