kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani.
Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado.
Wakala wa mchezaji kupitia kiredio fulani kaanza kuingia hofu na kujifanya Kibwana ananyemelewa na mitimu mikubwa imchukue kumbe uongo bwana ni jitihada za kulazimisha Yanga impe mkataba mwingine ili nae aambulie kitu.