Wewe nani kwake? Huyu ni mchezaji na kucheza popote ni moja ya kazi yake..!Kibwana haendi popote.
Mchezaji ambae hata akikosekana timu yake inapata matokeo yaleyale au zaidi thamani yake haiwezi kupanda sana sokoni.Wewe nani kwake? Huyu ni mchezaji na kucheza popote ni moja ya kazi yake..!
Mchezaji anangalia maslahi na uwezo wa kukuza kiwango chake.
kwahivyo hata akitakiwa na timu za nje utasema haendi popote?
Thamani ya kibwana Ina bebwa na umri, uwezo na upambanaji wake.Mchezaji ambae hata akikosekana timu yake inapata matokeo yaleyale au zaidi thamani yake haiwezi kupanda sana sokoni.
Kwahivyo unamaaisha kuwa uwezo wake hautazidi kuliko alivyo hivi sasa kwahivyo ni wa hapa hapa.Mchezaji ambae hata akikosekana timu yake inapata matokeo yaleyale au zaidi thamani yake haiwezi kupanda sana sokoni.
Sisemi kuwa ni WA hapahapa, kwakuwa Mungu ndiye anayajuwa yote, lakini wakala kutumia mbinu za kumpandisha bei kwa njia za panya sio sawa. Kimo chake kile kuwa beki ni yambo la kusubir na kuonaKwahivyo unamaaisha kuwa uwezo wake hautazidi kuliko alivyo hivi sasa kwahivyo ni wa hapa hapa.
Kibwana na kijana wa yanga na wananthamini sana,jumbuka tumenpeleka nje kutibiwa hatuwezu kumuachaKijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani.
Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado.
Wakala wa mchezaji kupitia kiredio fulani kaanza kuingia hofu na kujifanya Kibwana ananyemelewa na mitimu mikubwa imchukue kumbe uongo bwana ni jitihada za kulazimisha Yanga impe mkataba mwingine ili nae aambulie kitu.
hiyo ni kweli kabisa, lakini asitokee mtu kutaka kuitishia nyau Yanga kwa kusema Simba sijui Azam wametuma offer kwa wakala wake kwa lengo la kuzichonganisha Simba na Yanga kwa lengo la kupandisha dau la mchezaji. Kibwana ni mchezaji mzuri lakini sio mzuri sana, bado anahitaji kunolewa na machocha na kupewa nafasi zaidi ya kucheza kuinua kipaji chake, anaisaidia timu kupata matokeo na ameumia na kuhudumiwa na clubu sawa na akina Juma Mahadhi, Mapinduzi balama, Yacouba, Aucho, Yasini, Ninja, nk. Bahati mbaya sana kwake ni kwamba hata wakati anajiuguza Kocha Nabi alikuwa na mbadala wake aliyesaidia timu kupata matokeo aliyokusudia kuyapata.Kibwana na kijana wa yanga na wananthamini sana,jumbuka tumenpeleka nje kutibiwa hatuwezu kumuacha
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app