Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

"Siku zote chagua kuwa mkarimu kuliko kuwa sahihi"

Hii kauli ina maana gani?
 
Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.

View attachment 3322633
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Adv Simon Patrick ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika Law Society) pamoja na Chama cha Mawakili cha Afrika ya Mashariki (East African Law Society) amebainisha kuwa sasa anasalia kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga kuomba aruhusiwe aendelee kupumzika kwenye soka la Bongo.

"Vita dhidi ya wahuni haijawahi kuwa rahisi. Wanayanga wenzangu, najua maamuzi madogo ya CAS yamewaumiza, ila tuwapongeze viongozi wetu kwa kupinga uhuni kwa vitendo na nina uhakika hawajakata tamaa." Simon Patrick amesema

"Najua hawawezi kujitokeza kuwaeleza wanayoyapitia nyuma ya pazia, ila ipo siku mtawaelewa. Niwaombe wana Yanga muendelea kuwapa moyo na kuwaunga mkono kwa nguvu. Kwa muda niliotumikia klabu, nimejionea jinsi ilivyo changamoto kuiongoza klabu ya Yanga."

"Mwisho, nitumie fursa hii kuwaomba radhi ndugu zangu waandishi wa habari. Nimekuwa sipokei simu zenu, si kwamba sipendi kuzungumza nanyi, bali kwa sasa mimi ni mwanachama mtiifu wa Yanga, Nawaombeni mniruhusu niendelee kupumzika soka la Bongo, Yanga ina watu makini wengi na wenye weredi tuwape muda waendelee kutupambania" amesema Simon Patrick
View attachment 3322626
Haujawahi kuwa na weledi wa kisheria kwenye mambo ya Yanga.
 
Hakuna kosa kubwa na wakati mwingine ni vigumu sana kuliepuka hilo kosa kama kufuata hisia za muajiri wako. Nakumbuka kisa kimoja wakati wa Corona. Wakati Corona Iko moto kabla ya JPM hajaja na kauli zake za tofauti na mawazo ya wataalamu, kwenye taaisisi niliyokuwa nafanya kazi Kwa sababu Mimi ndio nilikuwa mshauri wa upande wa afya niliwekwa mtu kati nishauri nini kifangike kujikinga na Corona. Nilishauri mambo kadhaa lakini kubwa likawa kuwepo na maji na sabuni Kwa ajili ya watu kunawa mikono. Aisee nilionekana wa ajabu mbele ya maprofesa na ma doctor coz wakiangalia mitandaoni wanaona makonda mara kaweka mashine za kunyunyiza sanitizer, mara Rostamu kapeleka mashine ya kunyunyiza sanitizer mwili mzima kariakoo. Kwakweli mbele ya wale ma boss nilionekana kituko sana na Mimi nikabakia na ushauri ule ule. Haikutosha nikashauriwa na taasisi niliyokuwa nahudumu niende chuo Cha jirani kujifunza wanafanyaje Kwa sababu kilikuwa ni chuo Cha ki afya afya, nilivyoenda ofcoz walitumia sanitizer na alcohol zaidi Kwa ajili ya kutakasa mikono lkn Mimi bado nilizidi kushauri vilevile kutumia maji na sabuni. Bwana ee muda ndio msema kweli Wizara ya afya ikaja na afua mbalimbali za kujikinga na Corona na moja wapo ni kutumia maji na sabuni kunawa mikono. Nilipata credit kubwa mno kuanzia pale maana nilisimamia ukweli sikuyumbishwa na pressure za boss. So nikajifinza ogopa sana kutoa maamuzi kutokana na pressure za boss, simamia kilichosahihi kama ndivyo ilivyo
 
Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.

View attachment 3322633
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Adv Simon Patrick ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika Law Society) pamoja na Chama cha Mawakili cha Afrika ya Mashariki (East African Law Society) amebainisha kuwa sasa anasalia kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga kuomba aruhusiwe aendelee kupumzika kwenye soka la Bongo.

"Vita dhidi ya wahuni haijawahi kuwa rahisi. Wanayanga wenzangu, najua maamuzi madogo ya CAS yamewaumiza, ila tuwapongeze viongozi wetu kwa kupinga uhuni kwa vitendo na nina uhakika hawajakata tamaa." Simon Patrick amesema

"Najua hawawezi kujitokeza kuwaeleza wanayoyapitia nyuma ya pazia, ila ipo siku mtawaelewa. Niwaombe wana Yanga muendelea kuwapa moyo na kuwaunga mkono kwa nguvu. Kwa muda niliotumikia klabu, nimejionea jinsi ilivyo changamoto kuiongoza klabu ya Yanga."

"Mwisho, nitumie fursa hii kuwaomba radhi ndugu zangu waandishi wa habari. Nimekuwa sipokei simu zenu, si kwamba sipendi kuzungumza nanyi, bali kwa sasa mimi ni mwanachama mtiifu wa Yanga, Nawaombeni mniruhusu niendelee kupumzika soka la Bongo, Yanga ina watu makini wengi na wenye weredi tuwape muda waendelee kutupambania" amesema Simon Patrick
View attachment 3322626
Amechelewa sana, amewapigisha shoti mara nyingi sana Uto. Ila katika sakata la juzi kosa ni la Uongozi mzima kushikiwa akili na Haji Manara hadi wakafanya papara kupeleka kesi CAS bila kufuata taratibu, wamemsikiliza Haji mwenzao sasa anachekea chooni baada ya kuwaning'iniza.
 
Koma kabisa! uswahili na mpira tofauti kabisa timu ina makomando unawezaje kuitetea huko CAS? pumzika mzee wa watu usije Kufa bure waachie waswahili wenyewe kina Hersi
 
Amechelewa sana, amewapigisha shoti mara nyingi sana Uto. Ila katika sakata la juzi kosa ni la Uongozi mzima kushikiwa akili na Haji Manara hadi wakafanya papara kupeleka kesi CAS bila kufuata taratibu, wamemsikiliza Haji mwenzao sasa anachekea chooni baada ya kuwaning'iniza.
Mzee Manara na JK Tu! baaaasiii
 
Hii ndo maana halisi ya ubaya ubwela

Ubaya ubwela haujaisha kazi yake
 
Back
Top Bottom