Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

Watu wamemuumiza na mwiko mbana wa watu.
😂😂😂😂😂😂
 
😂 Kweli nyuma kuna mwiko 😂
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums-312072181.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
 
Huyu ilibidi atolewe kwa bakora ameishushia sana hadhi brand ya Yanga.
 
Huyo jamaa alitakiwa ashitakiwe, kesi za Yanga hata mtu ambaye hajasoma anajua kabisa hazina mashiko Wala misingi ya kisheria.
 
Back
Top Bottom