DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Yan mpaka mwanasheria kajuzulu 😂😂 usishangae mzempili akiitangaza kujiangamiza.daby limegeuka kuwa jinamizi kwa yanga na usishangae na manara kaachwaa yanYote haya yamesababishwa na Makolo kukimbia kipigo.
CAS amekuwa lini Kolo?Simba ndiyo aliyekimbia mechi lakini sasa makolo wanajitahidi ionekane Yanga ndiyo amekimbia mechi
Haujawahi kuwa na weledi wa kisheria kwenye mambo ya Yanga.Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.
View attachment 3322633
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Adv Simon Patrick ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika Law Society) pamoja na Chama cha Mawakili cha Afrika ya Mashariki (East African Law Society) amebainisha kuwa sasa anasalia kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga kuomba aruhusiwe aendelee kupumzika kwenye soka la Bongo.
"Vita dhidi ya wahuni haijawahi kuwa rahisi. Wanayanga wenzangu, najua maamuzi madogo ya CAS yamewaumiza, ila tuwapongeze viongozi wetu kwa kupinga uhuni kwa vitendo na nina uhakika hawajakata tamaa." Simon Patrick amesema
"Najua hawawezi kujitokeza kuwaeleza wanayoyapitia nyuma ya pazia, ila ipo siku mtawaelewa. Niwaombe wana Yanga muendelea kuwapa moyo na kuwaunga mkono kwa nguvu. Kwa muda niliotumikia klabu, nimejionea jinsi ilivyo changamoto kuiongoza klabu ya Yanga."
"Mwisho, nitumie fursa hii kuwaomba radhi ndugu zangu waandishi wa habari. Nimekuwa sipokei simu zenu, si kwamba sipendi kuzungumza nanyi, bali kwa sasa mimi ni mwanachama mtiifu wa Yanga, Nawaombeni mniruhusu niendelee kupumzika soka la Bongo, Yanga ina watu makini wengi na wenye weredi tuwape muda waendelee kutupambania" amesema Simon Patrick
View attachment 3322626
Amechelewa sana, amewapigisha shoti mara nyingi sana Uto. Ila katika sakata la juzi kosa ni la Uongozi mzima kushikiwa akili na Haji Manara hadi wakafanya papara kupeleka kesi CAS bila kufuata taratibu, wamemsikiliza Haji mwenzao sasa anachekea chooni baada ya kuwaning'iniza.Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.
View attachment 3322633
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Adv Simon Patrick ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika Law Society) pamoja na Chama cha Mawakili cha Afrika ya Mashariki (East African Law Society) amebainisha kuwa sasa anasalia kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga kuomba aruhusiwe aendelee kupumzika kwenye soka la Bongo.
"Vita dhidi ya wahuni haijawahi kuwa rahisi. Wanayanga wenzangu, najua maamuzi madogo ya CAS yamewaumiza, ila tuwapongeze viongozi wetu kwa kupinga uhuni kwa vitendo na nina uhakika hawajakata tamaa." Simon Patrick amesema
"Najua hawawezi kujitokeza kuwaeleza wanayoyapitia nyuma ya pazia, ila ipo siku mtawaelewa. Niwaombe wana Yanga muendelea kuwapa moyo na kuwaunga mkono kwa nguvu. Kwa muda niliotumikia klabu, nimejionea jinsi ilivyo changamoto kuiongoza klabu ya Yanga."
"Mwisho, nitumie fursa hii kuwaomba radhi ndugu zangu waandishi wa habari. Nimekuwa sipokei simu zenu, si kwamba sipendi kuzungumza nanyi, bali kwa sasa mimi ni mwanachama mtiifu wa Yanga, Nawaombeni mniruhusu niendelee kupumzika soka la Bongo, Yanga ina watu makini wengi na wenye weredi tuwape muda waendelee kutupambania" amesema Simon Patrick
View attachment 3322626
Koma kabisa! uswahili na mpira tofauti kabisa timu ina makomando unawezaje kuitetea huko CAS? pumzika mzee wa watu usije Kufa bure waachie waswahili wenyewe kina HersiBaada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025.
View attachment 3322633
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Adv Simon Patrick ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanzania (Tanganyika Law Society) pamoja na Chama cha Mawakili cha Afrika ya Mashariki (East African Law Society) amebainisha kuwa sasa anasalia kuwa mwanachama mtiifu wa Yanga kuomba aruhusiwe aendelee kupumzika kwenye soka la Bongo.
"Vita dhidi ya wahuni haijawahi kuwa rahisi. Wanayanga wenzangu, najua maamuzi madogo ya CAS yamewaumiza, ila tuwapongeze viongozi wetu kwa kupinga uhuni kwa vitendo na nina uhakika hawajakata tamaa." Simon Patrick amesema
"Najua hawawezi kujitokeza kuwaeleza wanayoyapitia nyuma ya pazia, ila ipo siku mtawaelewa. Niwaombe wana Yanga muendelea kuwapa moyo na kuwaunga mkono kwa nguvu. Kwa muda niliotumikia klabu, nimejionea jinsi ilivyo changamoto kuiongoza klabu ya Yanga."
"Mwisho, nitumie fursa hii kuwaomba radhi ndugu zangu waandishi wa habari. Nimekuwa sipokei simu zenu, si kwamba sipendi kuzungumza nanyi, bali kwa sasa mimi ni mwanachama mtiifu wa Yanga, Nawaombeni mniruhusu niendelee kupumzika soka la Bongo, Yanga ina watu makini wengi na wenye weredi tuwape muda waendelee kutupambania" amesema Simon Patrick
View attachment 3322626
Mzee Manara na JK Tu! baaaasiiiAmechelewa sana, amewapigisha shoti mara nyingi sana Uto. Ila katika sakata la juzi kosa ni la Uongozi mzima kushikiwa akili na Haji Manara hadi wakafanya papara kupeleka kesi CAS bila kufuata taratibu, wamemsikiliza Haji mwenzao sasa anachekea chooni baada ya kuwaning'iniza.
Kapiga hela nyingi sana pale nyuma mwiko atakuwa anapiga kawaha taratibu no problemUwajibikaji ,safi Patrick ila sasa utaishije ?