Baada ya Yanga kuzindua jezi, inasemekana Simba imeamua kurudisha kiwandani jezi zao mpya kufanyiwa maboresho

Baada ya Yanga kuzindua jezi, inasemekana Simba imeamua kurudisha kiwandani jezi zao mpya kufanyiwa maboresho

Kwani Wakala wa Mwamedi, Okwi Boban Sunzu anasemaje?
Amejitoa kwan hataki kuwa kolo
IMG_20210826_113956.jpg
 
Wameongozana kucomment tangu wameanzisha hii Thread hawa Uto kama Uto,halafu Comment hii moja tu imekuja kuuwa kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubr ligi ianze wanapoteaga humu
 
Utopolo bana. HIVI LILE SANAMU LA SHUJAA MROPOKAJI ZERUZERU MNAANZA LINI KULIJENGA?
 
Back
Top Bottom