GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu inayocheza mpira wa kitabuni Samba Loketo.
"Hawa Yanga SC tunaweza kuwafikiria kwa Msimu ujao ila pale tu na wao wakicheza Klabu Bingwa sana na huyo Shirikisho waliko na kubahatika kukutana na timu mbovu na kuzifunga," amesema kiongozi mkuu mmoja wa CAF alipokutana na Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma (Mwana FA) aliyeko nchini Afrika Kusini (pamoja na Rais wa TFF) kushiriki Mkutano wa Michuano ya Shule inayochezwa/inayoendelea huko.
Chanzo Taarifa: Vipindi vya Michezo nchini
Na msivyo na vipaji vya kufikiri (akili) yaani kabisa mnamjua Waziri Mwana FA ni Simba SC lia lia halafu mmejizima data zenu mnamtuma kimya kinya (kisiri) aende kuongea na Viongozi Waandamizi wa CAF nanyi mwaka huu (2023) muweno lakini lakini nae kakwaa kisiki.
Asanteni sana watu wa CAF.