Baada ya Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² sasa inaenda Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ, China πŸ‡¨πŸ‡³ is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

Cheap ugly roads ..unafanana na ile morogoro road ya Dar.
Babara ugly east Africa.
Umeongea kinyonge sanaaa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hiyo ndo Morogoro road under construction...!! Sasa unaongelea Morogoro road ipi..??...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umemaliza hiyo haina mjadala...Kwa taarifa nilizopata pia nikuwa China Exim Bank kasitisha mikopo barani Africa...Kwa sasa anasubilia chake...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeongea kinyonge sanaaa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hiyo ndo Morogoro road under construction...!! Sasa unaongelea Morogoro road ip..??...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile ya BRT si ndio morogoro...very ugly.
Naona iyo pia zinafanana tu.
Mbona msijenge kitu poa kama ATLEAST ile ya Arusha????
 
B
Ile ya BRT si ndio morogoro...very ugly.
Naona iyo pia zinafanana tu.
Mbona msijenge kitu poa kama ATLEAST ile ya Arusha????
BRT inakunyima usingizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni wekee BRT ya KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MonkyπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Narudia tena, hizi quotes zako zote hamna hata moja inaeleza document imetokea wapi, maana hata anayesemekana ndiye mwandishi, ameikana. Ingekua huko Tanzania, mngekua kwa tabu tayari maana waraka uliotiwa saini na kuwekwa kwenye mitandao halafu inatokea anayesemekana ndiye mwandishi anaukana, hapo ni wazi kuna tatizo la utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii.
 
last kicks of a dying horse.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Will the Railway go to beyond Naivasha??... and that tunnel... is it the tunnel to nowhere???

kama haya ni kweli, Kenya imetufundisha mambo mengi sana...sana...

Majirani tunawashukuru kwa kutufundisha.
 
Teh your high education ingewasaidia kuifuta kibera na kutoweka bond kabandari kenu ila kwa hali ilivyo am sore mai dia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…