Na a$$ hole yakoUtalipa na nini?
Stop the nonsense stick to the topic.ume quote asiye na akili kama wewe asiyejua maana ya kutaifisha
Wahi chai kwa shemeji yakoNa a$$ hole yako
Siwezi kuongelea mada inayoongelea yenye kichwa kutaifisha wakati habari iliyomo ndani haiongelei kutaifisha!!!!!
Kuna mtu amekulazimisha we vipi.Siwezi kuongelea mada inayoongelea yenye kicha kutaifisha wakati habari iliyomo ndani haiongelei kutaifisha!!!!!
Siwezi kuongelea mada inayoongelea yenye kicha kutaifisha wakati habari iliyomo ndani haiongelei kutaifisha!!!!!
..................Hawa viazi watakuumiza kichwa bure.
Juzi crush wa bashite si kasema jamaa masharti yao mazuriiiii.
Yani kweli hata km mtu ana akili za kuazima atawezaje kusema wachina wana misaada mizuri.
Ili hali kabla ya kizazi chetu kupita watakuwa wameshachukua strategic nyingi sana za Africa.
Cha kufanya huko mbeleni ni kubadilisha katiba na wale wote walioleta ujinga wananyongwa kwa kamba.
Kama mtu alishakufa tunafukua na kumchoma.
Mkuu kuna watu wana vichwa vya panzi au ni wana ubishi wa kuzaliwa, alifikiri hii habari nimeitunga, nikamwambia sijaandika mimi, akasema nimejitungia heading nikamletea link, akasema kwanini nime quote hii habari.Mkuu unamaliza calories zako kujibizana na huyo msukule wa chakubanga
Inawezekana kuwa ni propaganda lkn kwa dunia ya sasa propaganda ndizo zimatawala dunia, lkn kiuhalisia Kenya inadaiwa na China deni kubwa.
Usiwe unawa quote wasio na akili na kuleta vichwa vyao vya habari Jamii forumsMkuu kuna watu wana vichwa vya panzi au ni wana ubishi wa kuzaliwa, alifikiri hii habari nimeitunga, nikamwambia sijaandika mimi, akasema nimejitungia heading nikamletea link, akasema kwanini nine quote hii habari.
Ila nimemjibu kistaarabu ili na wengine wajifunze.
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.Kichwa cha mada umeandika wewe habari yenyewe haiongelei kutaifisha au nationalization.Ila kwa uelewa wako mdogo hiyo habari wewe umeielewa kuwa ni kutaifisha!!!!!Ndio kwa huo uelewa wako mdogo below the sea level ukaweka kichwa kwenye mada yako kuwa ni kutaifisha.!!!!
Umejaaliwa uvumilivu ningekuwa mimi angejutaMkuu kuna watu wana vichwa vya panzi au ni wana ubishi wa kuzaliwa, alifikiri hii habari nimeitunga, nikamwambia sijaandika mimi, akasema nimejitungia heading nikamletea link, akasema kwanini nine quote hii habari.
Ila nimemjibu kistaarabu ili na wengine wajifunze.
Usiwe unawa quote wasio na akili na kuleta vichwa vyao vya habari Jamii forums
CC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.
Mkuu kinachowaumiza wazungu ni kupigwa chini kibiashara na mchina mfano shirika la umeme la zambia ambalo wachina wamelichukua kuliendesha kabla ya mchina kila kitu kuanzia nyaya za umeme,transformer nk vilikuwa vinanunuliwa nchi za magharibi .Baada ya mchina kuchukua kila kitu kinatoka china.Hasira zao za kubwagwa kibiashara na mchina na kupoteza mapato ndio ku steam out frustration zao wanakuwa na hizo kampeni chafu za kuchafua chinaMbona Tanzania kwa mfano, kuna Kampuni zinaendeshwa kiubia na Serikali mfano: Kampuni ya Sigara, Kampuni ya TBL,Kumpuni ya StarTimes baina China na TBC, Swissport nk. Mbona hatujawahi kusikia vyombo vya habari vya magharibi Viki inanga Tanzania.
Hiyo bold ndio ilitakiwa iwe HEADING siyo hiyo aliyoweka mleta mada“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.
Soma hapo kwenye ''bold'' Boss.
Kati ya SGR na wenye maroli nani anatoa ajira kwa wingiCC: Jiwe
Africa,badala ya ku-focus kuongeza uzalishaji katika nchi nzetu pamoja na kubuni vyanzo vya mapato,tuna focus zaidi kukopa kufanya mambo makubwa ambayo si tu hatuna uwezo nayo,bali hata kiuchumi vinakuwa ni vitu ambavyo vinageuka liability kwetu.
Hizi SGR kwa nchi zetu ambazo sio industrialised ukichunguza utagundua haziwezi kuwa na tija kiuchumi zaidi ya kuwa na faida za kijamii tu kwa watu kusafiri kutoka point A kwenda point B wakiwa na vitu kama virobota viwili au vitatu vya nguo za mitumbo,vikatoni vya sabuni,n.k
We are the next.