Baada ya zoezi la kugawa gesi tarajieni yafuatayo...

Baada ya zoezi la kugawa gesi tarajieni yafuatayo...

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
N.G.O inayojihusisha na tafiti itaanzisha kura za maoni/maruhani na matokeo yatakuwa % nyingi zitaonyesha anapendwa. Tayari kiongozi wa hiyo N.G.O. aliyekoswakoswa na m-lakezone alishachukua chake kwa ajili ya zoezi hilo pale ofisi za Gaspiano.

2024 Muajemi atalinunua gazeti maarufu ambalo alishawahi kulimliki na baada ya kulinunua gazeti hilo litaanzisha kura za maoni na matokeo yataonyesha anapendwa. Karatasi nyingi za kura zitajazwa na Sekretali wa Muajemi pale makao makuu ya Ofisi za Gacpiano kama zilivyopata kujazwa wakati ule za gazeti la Majira kwa ajili ya kumpamba mzee wa mizurulo.

Mratibu na aliyepewa usimamizi wa mambo yote hayo ni Sekretali wa Muajemi na gari ndogo ya kifahari aina Hyundai nyeusi ya Muajemi ndiyo inayotumika kuwabeba wajumbe muhimu wa zoezi hilo andaliwa.

Pesa zote za mradi wa kumpamba mgawa gesi zinapitia kwa yanki mmoja hivi ambaye pia ni mwakilishi wa Jimbo moja huko kwa mangoshaz na ni Mjumbe wa Kamati Tendaji ya klabu moja maarufu huko Tangagiza na gari lake la kifahari aina ya Nissan ndilo humfuata yule kiongozi wa N.G.O. ya kitafiti kumpeleka ilipo Safe house huko Mikocheni kwa ajili ya kuendeleza mipango.

Tarajieni.
 
Umejaa chuki sana

Hizi ni habari za mitaani na kusadikika

Ni vyema ukaacha Hearsy
 
Back
Top Bottom