Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili
Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka kweli! Poleni sana wale wenye chuki zenu! Madolali yanaenda kuzidi kumiminika kwenye mapato ya nchi!
Hii ndo maana halisi ya kuongoza kwa akili!
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania