Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

Samahani ndungu zangu kunakitu kidogo ningependa kujua kuhusu Ayati Magufuli. Kiukweli kipindi anaongoza Magu, mimi sijawai kuepo Tanzania hatasikumoja nilikua namsoma tu kwenye mitandao lakini sidhani kama alikua msafi kupita kiasi ukiwa msafi lazima ukubali kukosolewa hata kidogo lazima ukubali kushauliwa lakini kwajamaa hilo halikuepo sasa nikweli unaweza kutamani mtu kama huyokweli. Mimi sikuepo lakini kulikua hakuna freedom of speech simchukii lakini jamaa alikua mbabe sana
 
Lord denning wewe ni msalyambweta kabisa. Sisi hatumpingi kabisa Mama Samia na hakuna mtanzania mwenye chuki binafsi na Mama Samia.

Kilichopo Mama kaachia wahuni wamuendeshee nchi. Mama kama Mama ana weledi na Watanzania tunampenda mno ila kwenye kuachia nchi waiongoze wahuni hapo ndipo chuki kubwa ilipo.

Yaani kilichopo kwa sasa tunaheshimu tu mamlaka ya rais lakini kusema eti tuna rais Tanzania, hapana, hayupo kabisa.

Tusubiri sijui lini Mama atabadilika au tutapata Magufuli mwingine.
Kwa hiyo kufanya biashara ni uhuni. We unafurahi a umaskini aliouhubiri jpm kwa miaka mitano kwamba yeye anaongoza maskini na anawafurahia Sana na kutaka nchi nzima wote tuwa machinga!!! Kazi ipo
 
pale vigunguti hakuna waislamu wanaochinja tunadanganya ni waislamu lakini hawajui hata kusoma dua ya kuchinjia wengi ni wa dodoma watanzania wengi wanakula vibudu bakwata wao kazi yao kwenda pale wakifungiwa maini wanaondoka bakwata haipo kwa ajili ya waislamu bakwata na nyerere ni baba mmoja mama mmoja
Acha ubishi wagogo wao wanaangusha ng'ombe hawachinji
 
Umeomba kupitia kampuni yako ukanyimwa? Unaulizia kampuni nyingine kwani unajua kampuni zilikuwa ngapi? Embu tutajie izo nyingine na tupe ushahidi ziliomba lini?
Nimekuuliza wewe uliyesema 2 je mchakato wa kuzipata ulikuwa wa kiushindani
 
Asante Rais kwa Jitihada za kufungua nchi. Kila linalozalishwa Tanzania kingepata soko halisi popote duniani, tungeongeza idadi ya wa-Tanzania wenye uwezo mkubwa wa kununua (relatively high purchasing power) tukaongeza uwezo wa kukusanya kodi, japo kiwango kidogo tu tungeweza kukusanya Tzs. Trilioni 10 kwa mwezi. Kwa mwaka Trilioni 120 tu, automatically hatuhitaji kuomba kokote, bali tungekopesha mataifa mengine baada ya kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati. Ni hilo tu
Amka
 
Safi sana mama Samia tunakupenda na kukuombea
 
Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao

Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili

Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka kweli! Poleni sana wale wenye chuki zenu! Madolali yanaenda kuzidi kumiminika kwenye mapato ya nchi!

Hii ndo maana halisi ya kuongoza kwa akili!

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania

View attachment 2271110
Unajuaga kushabikia upuuzi. Baada ya waarabu wa kupewa loliondo na ngorongoro ndio mmepewa fursa. Pathetic
 
Hongera sana kwake ila cjajua kama hili swala liko kihalisia au ni siasa za majitaka,tujiulize tu leo unawatoa wafugaji maeneo pendwa ya kifugaji kwa kisingizio cha pori tengefu je! hizo nyama unatoa wapi? kwa muda wa miaka mingapi? je! export itakuwa nyama kiasi gani kwa mwaka?
ili mradi wowote ufanikiwe tunapima sustainability ninachokiona hapa ni matumizi ya nyama pori na sio vinginevyo kama tunavyoaminishwa.
Mungu ibariki Tanzania
 
Wewe masikini una nini cha maana zaidi ya kushangilia tu?
Mimi siyo masikini/Mnyonge kama wewe, ndiyo mana sikuwa upande wa yule dhalimu na sera zake za kurudi kwenye ujima. Wanyonge kama wewe ndiyo mlikiwa mtaji wake
 
Back
Top Bottom