Samahani ndungu zangu kunakitu kidogo ningependa kujua kuhusu Ayati Magufuli. Kiukweli kipindi anaongoza Magu, mimi sijawai kuepo Tanzania hatasikumoja nilikua namsoma tu kwenye mitandao lakini sidhani kama alikua msafi kupita kiasi ukiwa msafi lazima ukubali kukosolewa hata kidogo lazima ukubali kushauliwa lakini kwajamaa hilo halikuepo sasa nikweli unaweza kutamani mtu kama huyokweli. Mimi sikuepo lakini kulikua hakuna freedom of speech simchukii lakini jamaa alikua mbabe sana