Taarifa iliyosomwa Jana nadhani,inasema imeruhusiwa baada ya jitihada za muda mrefu za wataalamu kwa hiyo miaka 21..
Lakini hata ukiamua kutumia akili za kawaida,haiwezekani zuio la miaka 21, kwa sababu za kitaalamu za ugonjwa Kama unavyosema,ziondolewe kwa maongezi ya siku 1 tu za wanasiasa,labda Kama sababu za ugonjwa unazosema zisiwe za kweli, lazima ziwe harakati za muda mrefu za wataalamu kujiridhisha kuwa ugonjwa uliokuwa unahofiwa haupo Tena...
Ila gonja aupige mwingi maana ndiyo mafanikio ya wananchi
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app