Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Sababu ya kuzuia ilikuwa kuenea kwa ugonjwa wa miguu na midomo21yrs. Ni tangu Mkapa sio. Hujasema sababu ya kuzuia ilikuwa nini na imekuwa solved kivipi? Hata kusafirisha wanyamapori wakiwa hai i.eTwiga na Tausi kuzwa ilizuiwa kwa maslahi. Je sasa hivi imeruhusiwa baada ya kurekebisha nini?
Kwanini kampuni 2 tu
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kama wana access na twiga wa usd 45,000 full sized kwanini wawazuie kuuza mbuzi wa dollar 40😂Habari nyingine mbaya kwa wale pingapinga fc au malalamiko fc bila kuwasahau Burundi gang...
Hoja yako haina mashiko! Kipindi cha Mkapa na Kikwete walikuwa na access na hao wanyama maana still tulikuwa tunasafirisha wanyama wafugwao kwenda nje ila bado zuio lilikuwepoKama wana access na twiga wa usd 45,000 full sized kwanini wawazuie kuuza mbuzi wa dollar 40😂
Inanisaidia nini katika maisha yangu ya kawaida? Kungekuwa na impact kama kungeondolewa tozo za kinyonyaji juu ya VAT. Baada ya hio ban kuondolewa.Hoja yako haina mashiko! Kipindi cha Mkapa na Kikwete walikuwa na access na hao...
kwa iyo na maisha yako ya kawaida huendi hospitali? hutembelei barabara za lami? huna mtoto anayesoma bure la kwanza hadi form 6? Unadhani hela ya yote hayo inatokana na nini?Inanisaidia nini katika maisha yangu ya kawaida? Kungekuwa na impact kama kungeondolewa tozo za kinyonyaji juu ya VAT. Baada ya hio ban kuondolewa.
Bure ipi hio? Mtoto si analipia ada! Si alifuta elimu bure huyo mama, hao askari waliojazana kuomba rushwa barabarani huwaoni au huna gari ndugu Chawa?kwa iyo na maisha yako ya kawaida huendi hospitali? hutembelei barabara za lami? huna mtoto anayesoma bure la kwanza hadi form 6? Unadhani hela ya yote hayo inatokana na nini?
Kweli utakuwa ni msukule na sio binadamu!
Kumbe nimeshagundua haupo TanzaniaBure ipi hio? Mtoto si analipia ada! Si alifuta elimu bure huyo mama
Bado ana uchungu wa kufiwa ndugu wa marehemu huyu! Wanaanzisha chama chao cha kumuomboleza marehemu kinaitwa umoja party na mnyarwanda mwenzake Suzy Elias !Mmmbwaa kweli wewe,
Eti tusubiri sijui lini tutapata maggufulli mwingine!" Yaani nchi hii kamwe haitakuja kuongozwa na shetani wa sampuli hile,
Halafu acha matusi kwa viongozi wa nchi mmmbwa ww, yaani viongozi wa nchi unawaita wahuni we kahaba!? Kwaiyo sampuli ya kina jambazi Sabaya na bashite ndio kwako wewe walikuwa viongozi wazuri chini ya diktea kichaa,,
Kumbe makkahaba hamnaga akili kabisa
We nawe kumbe ni tahila, shule gani ya serikali wanafunzi wanalipa ada? Au unasemea olympio na diamond school!,Bure ipi hio? Mtoto si analipia ada! Si alifuta elimu bure huyo mama, hao askari waliojazana kuomba rushwa barabarani huwaoni au huna gari ndugu Chawa?
Kweli hawa sio wazima kabisa, waende huko chattle wakatambikweBado ana uchungu wa kufiwa ndugu wa marehemu huyu! Wanaanzisha chama chao cha kumuomboleza marehemu kinaitwa umoja party na mnyarwanda mwenzake Suzy Elias !
Wavumilie tu, ni msongo wa mawazo uliowaletea matatizo ya akili tu
Hawatusumbui hawa!Kweli hawa sio wazima kabisa, waende huko chattle wakatambikwe
Haamini macho yake twapata katiba mpyaUmemaliza matanga hapo chato?
Endelea kuishi kwa nadharia zenu na polepole eti nchi inaendeshwa na wahuni kumbe mmejaa sonona tu
Hawana hamu! Chuki na sonona vimeanza kuwapa matatizo ya akiliHaamini macho yake twapata katiba mpya
Tunaye na si mwingine ni Madam President Samia Suluhu Hassan.Upendi kunywa jiki.Aini mkubwa wewe.Lord denning wewe ni msalyambweta kabisa. Sisi hatumpingi kabisa Mama Samia na hakuna mtanzania mwenye chuki binafsi na Mama Samia. Kilichopo Mama kaachia wahuni wamuendeshee nchi. Mama kama Mama ana weledi na watanzania tunampenda mno ila kwenye kuachia nchi waiongoze wahuni hapo ndipo chuki kubwa ilipo. Yaani kilichopo kwa sasa tunaheshimu tu mamlaka ya rais lakini kusema eti tuna rais Tanzania, hapana, hayupo kabisa. Tusubiri sijui lini Mama atabadilika au tutapata Magufuli mwingine.
Chuki zako zimeshakupa ukichaa!Hakuna kitu kigumu kama kumuelewesha UVCCM kuna maswali ya kujiuliza hapo
~kwa nini ni kampuni 2 pekee?
~Uhitaji wao kutoka Tanzania ni kiasi gani?
~Source ya taarifa yako ni ipi maana naona hiyo page wameandika mama anaupiga mwingi so huoni kwamba huenda imeanzishwa na chawa wa UVCCM kumsifia Samia
~Vipi kuhusu mustakabali wa kampuni nyingine
~Mbona media nyingine hawajatangaza