Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

Wewe ni mjinga kabisa, yaani unataka kurudi utumwani, sijui sukuma gang mna akili gani. Eti jitu timamu kabisa linaomba tumpate mtu kama jiwe tena, Watanzania tutahakikisha mtu kama Jiwe hashiki tena madaraka. Mama ahakikishe anawatoa sukuma gang wote serikalini
 
Mlishaambiwa mkachimbe kaburi pembeni pale nanyi mjifukie ...pmbaf
 
Kwanini usihamie huko? Mtakufa kwa sonono mwaka huu
 
Inanisaidia nini katika maisha yangu ya kawaida? Kungekuwa na impact kama kungeondolewa tozo za kinyonyaji juu ya VAT. Baada ya hio ban kuondolewa.
Hizi zinaitwa shamla shamla za kisiasa, yaani kampuni mbili tu, tena ukute ni zile ambazo lazima uwe muumini wa upande flani, ujinga mtupu… kuna fursa za kuinua Tanzania na kuna fursa za kibepari, hii ni moja wapo.
 
Safi sana hii imekaa vizuri sana tunaagiza mafuta kwao na Sisi tunapeleka ng'ombe wetu

Raisi anajitahidi lakini hapo kampa kazi kubwa Waziri wa mifugo kuhakikisha ufugaji unaongezeka waarabu wanakula nyama sio mchezo tunahitaji ng'ombe wengi mno kukidhi soko hilo la nje na la ndani
Fursa zipo Tatizo hiyo wizara ya mifugo kwa mfano China kuna soko kubwa sana la nyama ya punda wizara imepiga marufuku punda kuuzwa kiwanda cha nyama ya punda cha wachina kwa kusema punda wanaisha badala ya kuhamasisha watu wafuge punda kwa wingi wauze China

Raisi kafungua soko kama ufugaji mkubwa wa kukidhi soko hatuna tutafute wawekezaji wakubwa wa ufugaji waje kuwekeza Tanzania
 
Watakua wanapelekewa na mwekezaji wa Ngorongoro ,kwan KWa zuiyo Ilo la miaka 21 kwani tumepata shida GANI?

Mnasifia mpaka ujinga, alafu fuatilia ksmpuni izo mbili then urejee hapa, izo ni za kifisadi tu
Pole sana kwa kuondokewa na mungu wako
 
Hii Laana ya Kila kitu kuingiza Siasa na Kampeni za Kumsifia mtu akubalike na walio wengi , Mungu atuepushe nao sisi Watanzania! Duniani kote maendeleo yanakuja pale tu ubabaishaji wa wanasiasa unapokuwa mbali na sayansi
Jiwe aliamini ushirikina kuliko science mwisho wa siku corona ikapita naye Taifa likapona
 
Hizi zinaitwa shamla shamla za kisiasa, yaani kampuni mbili tu, tena ukute ni zile ambazo lazima uwe muumini wa upande flani, ujinga mtupu… kuna fursa za kuinua Tanzania na kuna fursa za kibepari, hii ni moja wapo.
Hizo kampuni utakuta moja ina hisa za msoga by 80% nyengine hisa za Mzee Hassan kwa 80% halafu wabongo mnaimbiwa ngonjera za nchi kufunguka na mnapiga makofi.

Tuwaone mbuzi wa Vingunguti wakipelekwa Oman hapo huenda ika make sense.
 
Hii Laana ya Kila kitu kuingiza Siasa na Kampeni za Kumsifia mtu akubalike na walio wengi , Mungu atuepushe nao sisi Watanzania! Duniani kote maendeleo yanakuja pale tu ubabaishaji wa wanasiasa unapokuwa mbali na sayansi
Katika hoja zote zinazoendelea kujadili bandiko kuu, hii yako ndiyo yenye mashiko.

Kuwe na Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu za kuendesha Nchi, Shirika, au hata Familia, kama hakuna usimamizi makini, NI BURE.

Hivyo basi, kwangu mimi Magufuli atabaki kuwa Rais bora Tanzania kwa kuwa alikuwa na Utashi wa Kisiasa (Political Will). Kwa Utashi huo Kisiasa alithubutu na kusimamia maamuzi yake kulingana na matakwa ya Sera za CCM.

Hivyo basi, kinachoendelea kwenye Awamu ya sasa ya Uongozi wa nchi, ni Rais mwenye maono (vision) asiyoweza kuyasimamia bali yanatekelezwa na WAHUNI na kusifiwa na CHAWA

YAJAYO YANAFURAHISHA lakini YATAHUDHUNISHA
 
Fungua kampuni kaombe tenda, kujiliza pekee hakuto kusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…