Kwa hiyo kufanya biashara ni uhuni. We unafurahi a umaskini aliouhubiri jpm kwa miaka mitano kwamba yeye anaongoza maskini na anawafurahia Sana na kutaka nchi nzima wote tuwa machinga!!! Kazi ipoLord denning wewe ni msalyambweta kabisa. Sisi hatumpingi kabisa Mama Samia na hakuna mtanzania mwenye chuki binafsi na Mama Samia.
Kilichopo Mama kaachia wahuni wamuendeshee nchi. Mama kama Mama ana weledi na Watanzania tunampenda mno ila kwenye kuachia nchi waiongoze wahuni hapo ndipo chuki kubwa ilipo.
Yaani kilichopo kwa sasa tunaheshimu tu mamlaka ya rais lakini kusema eti tuna rais Tanzania, hapana, hayupo kabisa.
Tusubiri sijui lini Mama atabadilika au tutapata Magufuli mwingine.
Acha ubishi wagogo wao wanaangusha ng'ombe hawachinjipale vigunguti hakuna waislamu wanaochinja tunadanganya ni waislamu lakini hawajui hata kusoma dua ya kuchinjia wengi ni wa dodoma watanzania wengi wanakula vibudu bakwata wao kazi yao kwenda pale wakifungiwa maini wanaondoka bakwata haipo kwa ajili ya waislamu bakwata na nyerere ni baba mmoja mama mmoja
Nimekuuliza wewe uliyesema 2 je mchakato wa kuzipata ulikuwa wa kiushindaniUmeomba kupitia kampuni yako ukanyimwa? Unaulizia kampuni nyingine kwani unajua kampuni zilikuwa ngapi? Embu tutajie izo nyingine na tupe ushahidi ziliomba lini?
Sina wivuAcha masononeko utakufa mapema
AmkaAsante Rais kwa Jitihada za kufungua nchi. Kila linalozalishwa Tanzania kingepata soko halisi popote duniani, tungeongeza idadi ya wa-Tanzania wenye uwezo mkubwa wa kununua (relatively high purchasing power) tukaongeza uwezo wa kukusanya kodi, japo kiwango kidogo tu tungeweza kukusanya Tzs. Trilioni 10 kwa mwezi. Kwa mwaka Trilioni 120 tu, automatically hatuhitaji kuomba kokote, bali tungekopesha mataifa mengine baada ya kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati. Ni hilo tu
Unajuaga kushabikia upuuzi. Baada ya waarabu wa kupewa loliondo na ngorongoro ndio mmepewa fursa. PatheticBaada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao
Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili
Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka kweli! Poleni sana wale wenye chuki zenu! Madolali yanaenda kuzidi kumiminika kwenye mapato ya nchi!
Hii ndo maana halisi ya kuongoza kwa akili!
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania
View attachment 2271110
Kweli mkuu, badala ya kuchangamkia fursa wanakalia kulia lia tuYah man
Maana wabongo ikitokea jambo
Utasikiaa ahh tunapigwa tunapigwa
Tunabakia kulalamikaaa tu
Ova
Mimi siyo masikini/Mnyonge kama wewe, ndiyo mana sikuwa upande wa yule dhalimu na sera zake za kurudi kwenye ujima. Wanyonge kama wewe ndiyo mlikiwa mtaji wakeWewe masikini una nini cha maana zaidi ya kushangilia tu?
Safiiimeruhusu kampuni mbili za kitanzania Za kuingiza nyama nchini mwaoni Za Kikwete na makamba