mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hata we unaweza kupeleka nyama huko mkuuHizo kampuni utakuta moja ina hisa za msoga by 80% nyengine hisa za Mzee Hassan kwa 80% halafu wabongo mnaimbiwa ngonjera za nchi kufunguka na mnapiga makofi.
Tuwaone mbuzi wa Vingunguti wakipelekwa Oman hapo huenda ika make sense.
Ova