thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Kabla ya kumshambulia Respected Comrade Kim Jong Un rejea Kwanza katiba ya Korea kusini inavyosema kuhusu eneo la ROK,... akili ya Kiduku eti SK ni jimbo lake lililoasi; similar to Taiwan! Makomunisti ni ya ajabu sana.
Ibara ya tatu inasema
"The territory of the Republic of Korea shall consist of the Korean peninsula and its
adjacent islands."
Kwa haya maelezo serikali ya kiduku(DPRK) Korea kaskazini ni halamu.
Ibara ya nne inasema.
The Republic of Korea shall seek unification and shall formulate and carry out a policy of
peaceful unification based on the free democratic basic order.
Yaani kama nchi zinaungana tena Korea kusini ndio yenye haki ya kuunda muundo WA uwendeshaji WA serikali.
DPRK sio wajinga kujihami na siraha za nyuklia.