Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

Baadhi ya Brand kubwa za Korea Kusini

... SK wamewazidi NK kwenye nini ikizingatiwa NK wana nyuklia na inter-continental ballistic missiles ambazo SK hawana.
Angalia alichowazidi hawa kenge wa south Korea
1. Samsung company
2. Life good electronics (LG electronics)
3. Hyundai company
4. Kia Motors company

Naishia apo tuuuu na wewe taja products muhimu za nchi uipendayo ya North Korea

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
... SK wamewazidi NK kwenye nini ikizingatiwa NK wana nyuklia na inter-continental ballistic missiles ambazo SK hawana.
Kwenye matumizi ya kila siku ya mwanadam..? Nuclear na ICBM zinamsaidia nani?
S.Korea wana leading companies kwenye telecom wana samsung, wana brand yao ya magari KIA even though wana brand zaid ya moja. Wana makampuni ya ujenzi.

No offence kuwa na silaha kubwa haimaanish ndio uta lead kwenye uchumi. In this modern age kila taifa linaweza tengeneza silaha zake. It depends with kipaombele cha taifa husika
 
Haya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe.

KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba. Kumbuka haya mataifa yalikuwa maskini sana miaka ya 1950s. Lakini sasahivi ni kama mbingu na ardhi Kwenye uchumi ukiwalinganisha.

NOTE: Ukiacha vi nuclear vyake Saba vya KIDUKU, Korea kaskazini wanazalisha Nini?

View attachment 2326718
Kuwa na brand inayotambulika kimataifa sio ishu ndogo kama huamini nitajie brand 5 za Israel wale majirani wa Palestina
 
Back
Top Bottom