Angalia alichowazidi hawa kenge wa south Korea... SK wamewazidi NK kwenye nini ikizingatiwa NK wana nyuklia na inter-continental ballistic missiles ambazo SK hawana.
Kwenye matumizi ya kila siku ya mwanadam..? Nuclear na ICBM zinamsaidia nani?... SK wamewazidi NK kwenye nini ikizingatiwa NK wana nyuklia na inter-continental ballistic missiles ambazo SK hawana.
1: AzamBrand kubwa za Bongo
1) Vumbi la Kongo
2) Cuds Condom
3) Champ soap
.
Kuwa na brand inayotambulika kimataifa sio ishu ndogo kama huamini nitajie brand 5 za Israel wale majirani wa PalestinaHaya hapa ni baadhi ya makampuni ya kibabe ya Korea ya KUSINI. Thamani yake ni billions of dollars. Kila kampuni hapo ukiigusa ina brand ya kibabe.
KIDUKU Yuko busy na vi nuclear vyake Saba. Kumbuka haya mataifa yalikuwa maskini sana miaka ya 1950s. Lakini sasahivi ni kama mbingu na ardhi Kwenye uchumi ukiwalinganisha.
NOTE: Ukiacha vi nuclear vyake Saba vya KIDUKU, Korea kaskazini wanazalisha Nini?
View attachment 2326718