Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
Mimi sio vuvuzela..Na nyie mavuvuzela wa kibaraka mnajisahau wapi?

Wana hoja SI wakuwapuuzaHawa wapuuzeni wanaharibu maana ya siasa, wako against na kanuni za Chama kwaufupi ni jipu hawaeleweki na Chama chochote kile
Hakuna cha Canaan wala nini, kuna Keko na Ukonga tu😁😎...Wametusubirisha mno jangwani wakati Canan ni pale!...
Sawa ila wewe vuvuzela wa kibaraka Lisu na wenzakonajiweka kundi gani?Mimi sio vuvuzela..
Mavuvuzela wa humu mnajulikana hutokuja hata siku moja kuona mimi nimewekwa kundi la mavuvuzela humu.
Nakala kwa kunguni mkuu Lucas Mwashambwa .
Wewe ni kunguni na vuvuzela wa mamaSawa ila wewe vuvuzela wa kibaraka Lisu na wenzakonajiweka kundi gani?
Sawa wewe vuvuzela wa kibaraka Lisu na nyumbu wenzako Mko kundi gani?
Lissu hana mavuvuzela humu.Sawa wewe vuvuzela wa kibaraka Lisu na nyumbu wenzako Mko kundi gani?
Mbona mpo wengi sana nyumbu zake na mfano wa hao vuvuzela ni wewe hapo.Lissu hana mavuvuzela humu.
Mimi nakupa na ushahidi kuwa kunguni wa mama wapo na mnajulikana sasa kazi kwako niletee hichi kitu kwa upande wa LissuMbona mpo wengi sana nyumbu zake na mfano wa hao vuvuzela ni wewe hapo.