PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi ukitaka kusema "huwezi kuchanganya mafuta na maji" kwa kimombo unasemaje?
 
Hujajibu swali watakua wanaikosoa ili wapate nini? Wabunge wa ccm utawashinda kwa kuikosoa chadema?
Naona sasa unataka tuingie katika ubishani kwa sababu sijakujibu ulivyotaka. Nitajaribu mara ya mwisho. Kama G-55 watagombea ubunge, washindani nao watakuwa ni CCM, ACT Wazalendo, CUF na wengine. Chadema hata kama itakuwa haitagombea itakuwa mshindani wao kutokana na msimamo wao kuwa uhaguzi uzifanyike. G-55 wataukosoa huo msimamo ili wananchi wengi wapige kura tofauti na watakavyotaka Chadema. Wakati huo huo watawakosoa washindani wao ( ikiwa pamoja na CCM) ili wananchi watakao amua kupiga kura wawapigie wao na sio hivyo vyama vingine. Aidha, kwa sababu baadhi ya wapiga kura watakuwa na sympathy na Chadema basi G-55 itabidi ikosoe namna Chadema ilivyo wafanya waone kuwa hawana nafasi katika Chadema. Ni muhimu wao kufanya hivyo kwa sababu kwa miaka mingi wamekuwa wanachama waandamizi wa Chadema na itakuwa rahisi wao kuwavuta waliokuwa wanawaunga mkono wakati wako Chadema, hasa kwa sababu hapatakuwa na mgombea kutoka Chadema. Mtihani wa Chadema itakuwa ni kufanya uamuzi kati ya kuendelea kuwasimanga kuwa ni wasaliti n.k. na hivyo kuchangia ushindi wa CCM. Ama wawaache tu ili kama watashinda angalau kutakuwa na wapinzani Bungeni. Mtihani mkubwa ni kwa Chadema, sio kwa G-55.

Amandla...
 
Ikuaa wazi, Lissu lengo lake ilikuwa kuishambaratizha Chadema.
Mission accomplished
si kweli, si kweli Lisu kuisambaratisha chadema, si kweli. Ila Lisu hana busara, anaamini katika mitulinga bila busara! na maneno makali, kelele nyingi na kutafuta umaarufu. Lakini si kuisambaratisha chadema
 
Yani ilikuwa hivi, mbowe anapewa hela toka serikalini kwa upinzani wa uongo then hawa wananufaika nazo kidogo maisha yanaenda.Ukiongeza na ubunge wa kupewa kwa baadhi yao na baadhi ya wake zao viti maalumu wale covid 19 ni full kuishi.
Sasa mrija umekatwa na kufumuliwa wote ndo matokeo yake ni haya.

waende tu.
Ufilisiwe, ufungwe, halafu uwe wa ccm?
 
subiri kila kitu kinakwenda sawa no reforms no election, we nenda kagombee kupitia chauma
nitakutafuta october, usibadilishe ID...... wakienda swa hilo sina tatizo nalo, lt them go watafuta maisha kama Lisu anavyotafuta maisha kuwa mwenyekiti/rais
 
Mama yake ni mmasai hapo sasa tuhakikishie kama baba yake ndio mrema ?
Kazaliwa Marangu na baba yake ni Mrema.Au wewe una matokeo ya DNA yanayopinga ubini anaoutumia?
 
Back
Top Bottom