Mimi nadhani Lissu atatoka mapema tu. Wamemfanya inconsequential. Atajaza watu kwenye mikutano ya hadhara lakini at the end of the day Bunge lijalo halitakuwa na mbunge hata mmoja wa Chadema. Aidha, hakuwa na diwani hata mmoja wa Chadema. Aidha, hawatakuwa na kura hata moja ya mgombea urais. Kwa hiyo 2025-2030 platform zao zitakuwa mitandao na mikutano ya hadhari. Ruzuku pia haitakuwepo kwa hiyo itabidi wafanye juhudi za ziada za kupata fedha za kuendesha chama. By 2030 wale walioingiza watu wao Bungeni watakuwa katika nafasi nzuri ya ku challenge kwa ajili ya ubunge, udiwani na urais. Nawatakia kila la kheri.Let us wait and see...na sasa ccm watahakikisha Lisu hatoki na leo ili chadema ilegee kabisa. Wanakosa busara wote, wote waliobaki...only Mbowe alikuwa na busara, hawa makelele majukwaani..... Tibaijuka aliwashauri hivi: Pick the low hanging fruits................ndiyo ingelikuwa approach
Safi kabisa wakaunde genge sasa wao na wake zao nawaume zao shenzsafi sana, uvundo umeondoka
Acha ulaghai, hao biashara yao ilikua inajulikana toka mwanzo suala la kuhama lilikua la muda tuHawa jamaa wameandamwa na kila aina ya kebehi toka waseme wazi kuwa hawakubaliani na mwenendo wa chama chao cha awali. Ingawa walisema wako tayari kuunga mkono maamuzi ya chama chao, bado wakawa wanatukanwa. Huo ndio uhalisia. Wamefanya uamuzi wa busara kujitoa kwenye chama ambacho dhahiri kilikuwa hakiwataki. Hata Nyerere alisema, CCM sio mama yake. Ikimzingua ataachana nao. Hawa wamezinguliwa na wameamua kuachana na wenzao.
Amandla...
Chadema ya chini ya mbowe 2020 walipata wabunge wangapi?Mimi nadhani Lissu atatoka mapema tu. Wamemfanya inconsequential. Atajaza watu kwenye mikutano ya hadhara lakini at the end of the day Bunge lijalo halitakuwa na mbunge hata mmoja wa Chadema. Aidha, hakuwa na diwani hata mmoja wa Chadema. Aidha, hawatakuwa na kura hata moja ya mgombea urais. Kwa hiyo 2025-2030 platform zao zitakuwa mitandao na mikutano ya hadhari. Ruzuku pia haitakuwepo kwa hiyo itabidi wafanye juhudi za ziada za kupata fedha za kuendesha chama. By 2030 wale walioingiza watu wao Bungeni watakuwa katika nafasi nzuri ya ku challenge kwa ajili ya ubunge, udiwani na urais. Nawatakia kila la kheri.
Amandla...
Wamechukia kwakuwa waliambiwa ukweli kuwa wake zao wana covid 19 wanakula mema na wao wanakwenda kujumuika hukoAmetangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
HahahaaaaaSijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂
Wewe huoni wanavyoshambuliwa na watu kama nyinyi? Ulitegemea wabaki? Kwa vile mlijua kuwa watahama, naamini mmejipanga vizuri kuendelea na mpambano wenu dhidi ya common enemy. Kuwa hamtapoteza muda kuwakosoa waliokuwa wanachama wenu bali mtaelekeza nguvu zenu zote katika kupata katiba mpya.Acha ulaghai, hao biashara yao ilikua inajulikana toka mwanzo suala la kuhama lilikua la muda tu
Common enemy ni ccm lakini wao kila press ni kuzungumzia lissu badala ya kuikosoa ccm na serikali
Ni kina nani wanapoteza muda kuwakosoa hao G55?? Wao ndio kila siku wanaitisha presa kukosoa viongozi wa SasaWewe huoni wanavyoshambuliwa na watu kama nyinyi? Ulitegemea wabaki? Kwa vile mlijua kuwa watahama, naamini mmejipanga vizuri kuendelea na mpambano wenu dhidi ya common enemy. Kuwa hamtapoteza muda kuwakosoa waliokuwa wanachama wenu bali mtaelekeza nguvu zenu zote katika kupata katiba mpya.
Amandla...
Mmoja. Lakini walikuwa na kura za kutosha za kuwapatia wabunge wengine wa viti maalum na ruzuku. CDM ya Lissu haitapata kura hata moja wala thumni ya ruzuku kwa vile haitashiriki katika uchaguzi.Chadema ya chini ya mbowe 2020 walipata wabunge wangapi?
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
Chama ilimbeba sana miaka yote hakuwa na umuhimu kabisaMrema ni mchaga wa Marangu.
Ana njaa kwa vile ni mlevi.
Pili hajui kuwa hana umuhimu mkubwa kivile kwenye chama
Chadema haipo kwa ajili ya ruzukuMmoja. Lakini walikuwa na kura za kutosha za kuwapatia wabunge wengine wa viti maalum na ruzuku. CDM ya Lissu haitapata kura hata moja wala thumni ya ruzuku kwa vile haitashiriki katika uchaguzi.
Amandla...
Unapaswa kufahamu unaongea na mtu timamu. Hizo kura za wabunge wa viti maalum nani alikua anazitaka chadema??Mmoja. Lakini walikuwa na kura za kutosha za kuwapatia wabunge wengine wa viti maalum na ruzuku. CDM ya Lissu haitapata kura hata moja wala thumni ya ruzuku kwa vile haitashiriki katika uchaguzi.
Amandla...
Ulitaka waite presa kuikosoa CCM wakati wao sio wasemaji wa CDM?Ni kina nani wanapoteza muda kuwakosoa hao G55?? Wao ndio kila siku wanaitisha presa kukosoa viongozi wa Sasa
Nikuulize swali, kwa nnhao G55 hawaitishi press kuikosoa ccm na serikali?
akajaribu kwenye kilimoHahaha mpe ushauri wa namna ya kujiajiri
Maneno mazuri sana. Tutaona kwa vitendo.Chadema haipo kwa ajili ya ruzuku