sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,237
- 8,999
Yaani alitaka akae kwa cheo chake milele, pumbavu zakeMrema ni mchaga wa Marangu.
Ana njaa kwa vile ni mlevi.
Pili hajui kuwa hana umuhimu mkubwa kivile kwenye chama

Vitu vimebadilika sana,watu hawamuelewi mzanzibar,hata Mimi Nina Imani kubwa na CDM ya sasa
Kuondoka kwao ni heri sana kwa cdm, kunguni waleBora wameondoka
Usishangae wakampa ubunge ili akaiseme vizuri bungeni, kama mchezo huu wa kuiba kura hautatafutiwa dawa.Hahaha mpe ushauri wa namna ya kujiajiri
Kama Zito alipofukuzwa wakati ule....Ngoja waondoke ili wengine nao wapate nafasi.
Naona wamekuja na "dress code" Yao ya shati jeupe. 😄😆😃😀
loyalAtakayebaki Chadema ndiyo royal kwa Lissu na uongozi aendelee nao. Chadema imepikika wamebaki wanaotembea na wananchi. Hii ni hatua nzuri ya kuimarisha chama upya
Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
nccr alivyoondoka mrema ngawaia mtikila na mabele marando walisema hivyohivyoKuondoka kwao ni heri sana kwa cdm, kunguni wale
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita