PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani huyu Jama ( Retired ) si ana msupoort mbowe toka kipindi Cha uchaguzi wa ndani... Au kubadirika msimamo ???

Me naona bado anamshpport mbowe na anamchukia lissu.
Hapana, nimesema muda wote kuwa Lisu was my favorite politician, a very favorite one. kati ya Mbowe na Lisu nilikuwa namkubali Lisu from an angle of being aggressive against wrongdoings! But he was on a bad side with regard to diplomacy. Mbowe was good at that. In struggle, you need both!
LAKINI alivyo behave wakati wa kampeni za uchaguzi, Lisu alinivunja imani kwake. He acted like a hooligan agressive supreme of power. Amekigawa chama, mtu mwenye akili angeliaca kugombea, Mbowe akampisha after 5yrs kama alivyokuwa ameahidi na chama kikaendelea kuwa shwali! sasa ona kinachoendelea.

ILA KWA SASA NIKO UPANDE WAKE KWENYE KESI YA UONEVU INAYOMKABIRI. TUNAACHA TOFAUTI ZETU TUNAPIGANIA KUPINGA UONEVU NA UKOSEFU WA SHERIA ANAOFANYIWA.
 
Hawa G.55 sijui wana shida gani, wameambiwa, mwendo wa chama kwa sasa ni No Reforms No election, wao bado wanaleta pye pye pye. Kama wao hawaamini hiyo, wameambiwa milango ipo wazi, waende watakako.
Usipokubaliana na uamuzi wa wengi, nenda kaanzishe chama chako au kajiunge na chama kingine
yeye lissu ndo ahame kawakuta, arudi zake TLP
 
cdm sio tanu hakuna fikra zakudumisha ni wengi wape
 
I hope and pray watafanya tunachodhani watafanya.

It is a massive distraction and disruption in the party.

Can you please get away from us ? Just go please! Thanks a million.

Malengo ya CDM ya Tundu Lissu sio kushika madaraka ya mtu mmoja mmoja bungeni hapa na pale...

Hapa tutaendela kuvutana mashati kila siku. Anzeni safari mpya kwingine. You will be highly appreciated for dipping off.
 
Wapige kelele zao zote, lakini ni lazima wakubaliane na wafuate maamuzi ya chama, unless watafute hifadhi chama kingine.
 
I hope and pray watafanya tunachodhani watafanya.

It is a massive distraction and disruption in the party.

Can you please get away from us ? Just go please! Thanks a million.

Malengo ya CDM ya Tundu Lissu sio kushika madaraka ya mtu mmoja mmoja bungeni hapa na pale...

Hapa tutaendela kuvutana mashati kila siku. Anzeni safari mpya kwingine. You will be highly appreciated for dipping off.
malengo ni yapi? sasa hivi heche kanyamaza kimya, prado nimezima wese hamna, kwa ujinga wako unaamini Lissu ana nia njema na cdm? ngoja uone
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
Atakayebaki Chadema ndiyo royal kwa Lissu na uongozi aendelee nao. Chadema imepikika wamebaki wanaotembea na wananchi. Hii ni hatua nzuri ya kuimarisha chama upya
 
Are. Yaani Chadema ungepata wanachama 1k
Wa tajiriba yako.
Alaf 50 leaders wa mrengo wako wa kifikra. Leo ungekuwa sehem strong Sana....

Wether ingekua inagombea au haigombei Ila ingekua strong Sana.

Yan chama chenye hakuna migogoro na chenye kusitiriana walisema tunashiriki ushiriki huwa na mshindo na walisema hawashiriki mshindo huwa mkubwa vilevile.

Huu utoto unaendelea uliwarudisha nyuma Mara kadhaa na hata Leo naona unakirudisha nyuma chama ....

JAPO WALE RADICALS WATANIBISHIA NA WATAKUBISHIA BWANA Retired Ila uhalisia ni huu kwamba umoja ni nguvu na utemgano ni udhaif

Za hivi zinaitwa kujitekenya na kujichekesha.

Hayupo mwenye taabu nanyi. Wala hayupo radical unatejaribu ku m bumba kutoka kusikokuwapo.

Sasa hivi ninyi kuweni wanachama wa kawaida kwanza. Roles za uongozi hapana. Hadi m prove vinginevyo.

Mjikane kwanza nafsi zenu na kujutia short sightedness zenu za wakati ule. Mkiuvaa uchawa na kuweka pembeni nafasi za kuwa na fikira huru.

Memesahau mlikokuwa mmetufikisha?

Gg1mKSLWYAAyvA9.jpeg


Hamjutii Bado kutusuburisha jangwani?

Retired, Drifter oneni japo aibu basi ndugu zangu?

Looh!

imhotep, binti kiziwi hebu kutaneni na hawa ndugu kujionea maajabu ya Mussa!

Kwamba Mrema au Mchome si ni Hawa hapa?

1744224725751.png


Wanaungwanishwa Wapi Kwa mfano? Kwenye kulamba ruzuku? Au?

Labda kama ni Pwagu na Pwaguzi.
 
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!

Huyu haukuwa wewe ndugu?

IMG_20250507_085222.jpg


Ukihimiza Lissu kufukuzwa?

Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Si useme tu crdb wamechukua Lori lao?

Cc: 0005, @@erythrocyte shaurini huyu ndugu yenu kujikana nafsi yake kwanza si kutaka kuingilia uchochoroni.

Chadema ni muhimu sana kuwa macho !
 
Hapana, nimesema muda wote kuwa Lisu was my favorite politician, a very favorite one. kati ya Mbowe na Lisu nilikuwa namkubali Lisu from an angle of being aggressive against wrongdoings! But he was on a bad side with regard to diplomacy. Mbowe was good at that. In struggle, you need both!
LAKINI alivyo behave wakati wa kampeni za uchaguzi, Lisu alinivunja imani kwake. He acted like a hooligan agressive supreme of power. Amekigawa chama, mtu mwenye akili angeliaca kugombea, Mbowe akampisha after 5yrs kama alivyokuwa ameahidi na chama kikaendelea kuwa shwali! sasa ona kinachoendelea.

ILA KWA SASA NIKO UPANDE WAKE KWENYE KESI YA UONEVU INAYOMKABIRI. TUNAACHA TOFAUTI ZETU TUNAPIGANIA KUPINGA UONEVU NA UKOSEFU WA SHERIA ANAOFANYIWA.


Nimekusoma.
I respect people who respect their believes and standings while maintaining togetherness .....

you've earned my respect. 💪💪
 
Back
Top Bottom