johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbona wamekasirika sana
Hawaendagi endagi Kurasini hawa? 😂
Mpasie kadi keenye tawi lenu njaa itaishaSijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂
haaya bwana sasa mmegawanyika....... Lisu angeliweza kuzuia mgawamyiko kwa kuwa inclusive!Ndio maana chama kilimshinda Mbowe kwa kushauriwa hivi, maana ya uchaguzi ni nafasi ya kurekebisha mapungufu kidemokrasia na kuanza upya..huwezi kuwa kiongozi km unadhani unaweza kufanya kila mtu afurahi! na uongozi ni kujifunza..lazima ukubali wengine nao wafanya mchango wao! ni bora chama kibaki na watu wachache kuliko kujaza mamluki kwa kuogopa watakisumbua chama wakikosa uongozi!
Mwalimu na Benson Wake zao ni wabunge wa Covid 19 😂😂Kufukuza kila mwanachama kisa ana mawazo tofauti na viongozi haina afya kwa chama chochote cha siasa. Na mimi binafsi kama Mwana CCM naomba mfukuzane sana!
Sasa Chadema ndio ina nguvu kuliko ile Mwamba wa kumsimanga Shujaa Magufulihaaya bwana sasa mmegawanyika....... Lisu angeliweza kuzuia mgawamyiko kwa kuwa inclusive!
hapana siungi mkono wazo lako.... ubaguzi and you seem to be a kindergatten ageHao kina Mrema na G55 ni mamuluki tu wa CCM wanatumika km CCM Project/Mbowekuibomoa CHADEMA hawana lolote. CCM Shenanigans waheed!
Lisu alikubali kumwachia mbowe lakini mbowe kwa kushirikiana na CCM wakaona lisu ni mpinzani wa kweli wakataka wamuengue wabaki walamba asali wakamtuma yule wa mwanza akachuane nae ili amfanyie figisu wambwage ikabidi lisu abadili gia angani, na alisema wazi kuwa jamaa alitumwa nae kwa kuona amedharauliwa akasema Sasa anagombea na aliyemtuma.Hapana, nimesema muda wote kuwa Lisu was my favorite politician, a very favorite one. kati ya Mbowe na Lisu nilikuwa namkubali Lisu from an angle of being aggressive against wrongdoings! But he was on a bad side with regard to diplomacy. Mbowe was good at that. In struggle, you need both!
LAKINI alivyo behave wakati wa kampeni za uchaguzi, Lisu alinivunja imani kwake. He acted like a hooligan agressive supreme of power. Amekigawa chama, mtu mwenye akili angeliaca kugombea, Mbowe akampisha after 5yrs kama alivyokuwa ameahidi na chama kikaendelea kuwa shwali! sasa ona kinachoendelea.
ILA KWA SASA NIKO UPANDE WAKE KWENYE KESI YA UONEVU INAYOMKABIRI. TUNAACHA TOFAUTI ZETU TUNAPIGANIA KUPINGA UONEVU NA UKOSEFU WA SHERIA ANAOFANYIWA.
wewe huna akili, Lisu alimuita Magufuli dikteita uchwaraSasa Chadema ndio ina nguvu kuliko ile Mwamba wa kumsimanga Shujaa Magufuli
this is rubbish!Lisu alikubali kumwachia mbowe lakini mbowe kwa kushirikiana na CCM
..kwa haya anayofanya Mrema ni uthibitisho kabisa chadema ilikuwa compromised na ccm/dola na hivyo chama kisingefika popote! elewa pia dola inatumia njia zote kudhoofisha upinzani na mojawapo ni hii ya kununua watu ndani ya chama ili wawe sehemu ya kukidhoofisha chama kwa kuanzisha migogoro..angalia ishu ya wabunge 19 halafu bado unaamini Mbowe, kigaila, Salimu Mwalimu, Mrema wangeweza kukifikisha chama sehemu nzuri tena..? sahau!Are. Yaani Chadema ungepata wanachama 1k
Wa tajiriba yako.
Alaf 50 leaders wa mrengo wako wa kifikra. Leo ungekuwa sehem strong Sana....
Wether ingekua inagombea au haigombei Ila ingekua strong Sana.
Yan chama chenye hakuna migogoro na chenye kusitiriana walisema tunashiriki ushiriki huwa na mshindo na walisema hawashiriki mshindo huwa mkubwa vilevile.
Huu utoto unaendelea uliwarudisha nyuma Mara kadhaa na hata Leo naona unakirudisha nyuma chama ....
JAPO WALE RADICALS WATANIBISHIA NA WATAKUBISHIA BWANA Retired Ila uhalisia ni huu kwamba umoja ni nguvu na utemgano ni udhaif
Hujui historia wewe . Ulianza kufuatilia siasa wakati wa siasa za MACHAWA!?Kufukuza kila mwanachama kisa ana mawazo tofauti na viongozi haina afya kwa chama chochote cha siasa. Na mimi binafsi kama Mwana CCM naomba mfukuzane sana!
Lisu: Shujaa Magufuli alisingiziwa mengiwewe huna akili, Lisu alimuita Magufuli dikteita uchwara
Inawezekana kweli sijui historia ya chama kufukuza kila mtu halafu kikabaki imara. Ebu nifundishe ndugu!Hujui historia wewe . Ulianza kufuatilia siasa wakati wa siasa za MACHAWA!?
..unaongea kubeba spika, je waliotoa damu zao kwa ajili ya chama watasema nini..?mkuu john kaanzia mbali, kubeba spika na kubandika mbao za matangazo, leo unamfukuzaje ka mbwa kisa alikuwa right man wa mbowe