intelligence quotient
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 218
- 266
Hawa na wale wengine ni mfano wa wanasiasa wanaotanguliza maslahi yao binafsi kuliko ya wananchi. TAL amewaanika vile walivyo.
Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni
Catherine Ruge (Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa)
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
Soma pia:
Hiko chama hakijagawanyika, safari bado ni ndefu sanaKweli Nyika et al mmeshindwa kuunganisha chama? Mmetuangusha tuliowategemea.
Na hawa waliojitoa nao nawalaumu. Wangelivumilia maana time heals. Muda ulikuwa bado....
Huyu Erythrocyte mbona amekuwa kigeugeu hivi?😎Kuna mwingine huku:
Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake
View attachment 3326632
Kwamba wa aina hizo wanaweza vipi leo kuisema nini, nini au nani bila kwanza ya kujitathmini wenyewe na kujikana nafsi zao?
Bila hilo hao mbona ni CCM damu?
kama wewe ulivyo na njaa kukaa kwa inakuweka hukoSijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂
..isingesaidia, unainclude watu tayari ni doule agent, bora mgombane mwanzo wa safari kuliko mwisho wa safari.haaya bwana sasa mmegawanyika....... Lisu angeliweza kuzuia mgawamyiko kwa kuwa inclusive!
Hao ni evolution ya covid19 na ni team mbuyuKweli Nyika et al mmeshindwa kuunganisha chama? Mmetuangusha tuliowategemea.
Na hawa waliojitoa nao nawalaumu. Wangelivumilia maana time heals. Muda ulikuwa bado....
Kupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni
Catherine Ruge (Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa)
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
Soma pia:
Kinjekitile Ngwale ni maarufu kuliko Kijiji chenu chote!Wamejitoa hawataki kupelekwa kwenye vita ya maji maji kiholela.
Nani kafukuzwa !?? Msimamo ni ni reform no election hautaki ..nenda ...mbona CCM wameadhibu waliopinga Mama yenu kupita peke yake...Kufukuza kila mwanachama kisa ana mawazo tofauti na viongozi haina afya kwa chama chochote cha siasa. Na mimi binafsi kama Mwana CCM naomba mfukuzane sana!
Imegawanyikaje?Kweli Nyika et al mmeshindwa kuunganisha chama? Mmetuangusha tuliowategemea.
Na hawa waliojitoa nao nawalaumu. Wangelivumilia maana time heals. Muda ulikuwa bado....
weka ushahidi wa kidalali, usiwe fuata upepoSasa ni zama za Siasa UKOMBOZI .
Hatutaki Siasa za KIDALALI .
Wao wanatazamwa matumbo, Sisi tunatizama Wananchi na Maendeleo ya Nchi.