PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mzee Mbowe si ni bilionea kwa nini hataki kumpa ajira huyu kiumbe ?
Mbowe ni akili kubwa sana inapokuja swala la hela na kuona manufaa ndani ya mtu.
Anajua fika huyo John Mrema nnje ya siasa ya wakati ule akiwa Chairman wa CDM, hana msaada wowote kwake, yaani ni sawa na condom.
 
Wahame Chadema waanzishe chama chao...au watimkie Ccm/ACT


zitto junior Tindo Fundi Mchundo Lusungo Retired

Kuna mwingine huku:

Pre GE2025 - Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

IMG_20250507_085222.jpg


Kwamba wa aina hizo wanaweza vipi leo kuisema nini, nini au nani bila kwanza ya kujitathmini wenyewe na kujikana nafsi zao?

Bila hilo hao mbona ni CCM damu?
 
Hawa wapuuzeni wanaharibu maana ya siasa, wako against na kanuni za Chama kwaufupi ni jipu hawaeleweki na Chama chochote kile
Wameshindwa kuendana na zitto wanataka kwenda kwa mzee wa ubwabwa
 
Kumbe ni wa huko? Isinge kuwa hawa viumbe wa huko leo hii ungekuta kilimanjaro ni taifa, usaliti ,kutokuwa na misimamo na njaa za kupitiliza.
Kwa hiyo Wamarangu walisaliti?
 
Back
Top Bottom