PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kila leo conferences.........................nasikia wanakwenda CHAUMA. Wote na Lisu takataka walivyobehave wakati wa kampeni! Takataka tupu, na hili John linaendelea kuwa takataka kiwango cha lami!
Taratibu ndg yangu Retired usiwe mkali sana, haya mambo wakati mwingine yanakuwa magumu. Kina Mrema mambo yameenda tofauti na matarajio yao, wakati wa kampeni hawakutoa hata 10% kuwa kambi yao ingeweza kupoteza uchaguzi so hawakuwa na plan B. Sasa wanashindwa wafanye nn matokeo yake ndiyo kama hayo unayo yaona.
 
Taratibu ndg yangu Retired usiwe mkali sana,
John anaudhi, matokeo ndiyo hayo, sanasana anachokifanya nikukigawa chama zaidi ya kilivyogawanyika.

Likewise, Lisu hakupashwa ku behave kama alivyo behave wakati wa kampeni....Lisu angeliangalia maslahi ya chama kuliko yeye kuwa Mwenyekiti.

All in all niko upande wake kwenye kesi. Ameonewa!wote
 
John anaudhi, matokeo ndiyo hayo, sanasana anachokifanya nikukigawa chama zaidi ya kilivyogawanyika.

Likewise, Lisu hakupashwa ku behave kama alivyo behave wakati wa kampeni....Lisu angeliangalia maslahi ya chama kuliko yeye kuwa Mwenyekiti.

All in all niko upande wake kwenye kesi. Ameonewa!wote takataka!
Mkuu Retired naamini maoni yako yanaheshimiwa ndani ya CDM, ushauri wako kwa Lissu ni wa muhimu sana.
 
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
 
G55 nawakubali sana, wanaakili kubwa.
Mbowe asili. Lisu na Henche wamekivura Chama, Bora Mhe. MBOWE arudi.
 
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
Uko sahihi kabisa.
Lisu na Henche walimdhalilisha sana mh. Mbowe, matusi, kashfa na kejeli juu kana kwamba mbowe hakufanya kitu miaka 20!!! MBOWE ni mvumilovu sana. Leo hii chini ya uongozi wa Lissu na Henche ndani ya mwezi tu chama kimeganyika, hakuna tena umoja uliojengwa miaka 20 iliyopita!!!!
 
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!
Najua mkuu, pia nilitegemea angeweza kuwaunganisha kambi ya Mbowe na kufanya chama kuwa imara tena...usikate tamaa mkuu
 
Kwani huyu Jama ( Retired ) si ana msupoort mbowe toka kipindi Cha uchaguzi wa ndani... Au kubadirika msimamo ???

Me naona bado anamshpport mbowe na anamchukia lissu.

Ku m support mtu, Mbowe au awaye yote si taabu ila kuturejea bila kujitathmini ndipo shida ilipo.

Na wapo kadhaa wa aina yake leo wakitaka kumshauri Lissu au kushauri chama:

Brenda Rupia - Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Chadema weka mawasilian yako wazi ili wenye nia njema wakupe ushauri then uupeleke kwa wahusika

Ilikuwa vyema wakajikana kwanza nafsi zao.

Drlfter, binti kiziwi, imhotep au nasema uongo?
 
Najua mkuu, pia nilitegemea angeweza kuwaunganisha kambi ya Mbowe na kufanya chama kuwa imara tena...usikate tamaa mkuu
ameshindwa kuyaunganisha makundi. If it were me, I would have created some positions for a few individuals who had administrative roles from the outgoing administration.........
 
I am a staunch supporter of Chadema, lakini yaliyoendelea wakati wa uchaguzi yalinitia doa sana. Lisu was my favorite politician, mtu niliyemuamini sana kuliko Mbowe. But we wanted a smooth transition to preserve the party members' unity! Ona sasa kinachotokea...mara G55, mara chauma..... very sad!

Are. Yaani Chadema ungepata wanachama 1k
Wa tajiriba yako.
Alaf 50 leaders wa mrengo wako wa kifikra. Leo ungekuwa sehem strong Sana....

Wether ingekua inagombea au haigombei Ila ingekua strong Sana.

Yan chama chenye hakuna migogoro na chenye kusitiriana walisema tunashiriki ushiriki huwa na mshindo na walisema hawashiriki mshindo huwa mkubwa vilevile.

Huu utoto unaendelea uliwarudisha nyuma Mara kadhaa na hata Leo naona unakirudisha nyuma chama ....

JAPO WALE RADICALS WATANIBISHIA NA WATAKUBISHIA BWANA Retired Ila uhalisia ni huu kwamba umoja ni nguvu na utemgano ni udhaif
 
Hawa G.55 sijui wana shida gani, wameambiwa, mwendo wa chama kwa sasa ni No Reforms No election, wao bado wanaleta pye pye pye. Kama wao hawaamini hiyo, wameambiwa milango ipo wazi, waende watakako.
Usipokubaliana na uamuzi wa wengi, nenda kaanzishe chama chako au kajiunge na chama kingine.
 
Ni wapuuzi, wahame tu, ACT wanawasubiria kwa hamu wakagombee huko
 
Hawa G.55 sijui wana shida gani, wameambiwa, mwendo wa chama kwa sasa ni No Reforms No election, wao bado wanaleta pye pye pye. Kama wao hawaamini hiyo, wameambiwa milango ipo wazi, waende watakako.
Usipokubaliana na uamuzi wa wengi, nenda kaanzishe chama chako au kajiunge na chama kingine
 
Are. Yaani Chadema ungepata wanachama 1k
Wa tajiriba yako.
Alaf 50 leaders wa mrengo wako wa kifikra. Leo ungekuwa sehem strong Sana....

Wether ingekua inagombea au haigombei Ila ingekua strong Sana.

Yan chama chenye hakuna migogoro na chenye kusitiriana walisema tunashiriki ushiriki huwa na mshindo na walisema hawashiriki mshindo huwa mkubwa vilevile.

Huu utoto unaendelea uliwarudisha nyuma Mara kadhaa na hata Leo naona unakirudisha nyuma chama ....

JAPO WALE RADICALS WATANIBISHIA NA WATAKUBISHIA BWANA Retired Ila uhalisia ni huu kwamba umoja ni nguvu na utemgano ni udhaif
Yaani Chadema irudi nyuma kwa ajili ya hao wakina Mrema kweli? halafu unataka aunganishe chama muda gani wakati serikali ya CCM imemuweka korokoroni. Halafu huyo Mrema si ameshafukuzwa chama na tawi lake leo anaongea kwa nembo ya chama kipi?
 
Back
Top Bottom