kwani alisingiziwa?wewe huna akili, Lisu alimuita Magufuli dikteita uchwara
HKupitia ukurasa wake wa X, John Mrema ametangaza leo kuwa na mkutano na waandishi wa habari Golden Tulip, Masaki.
View attachment 3326611
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:

Laana ya kushangilia kifo hiyo.Wahame hata nchi
Umewaza kifalsafa sana. Yaani hakuna mfuatano wa watu zaidi ya 50 kwa mkupuo Kwa nasibu.Italeta picha gani kama wakienda huko wanakoenda kama kundi? Kuna coincidence kwenye watu wazima 50 kufuatana kiitikadi namna hii? Ikiwa kuna negotiation zimefanyika, wote watapata kitu au kuna watakaobaki wasindikizaji? Kama end game ni kushiriki uchaguzi, nini mategemeo yao kwenye na baada ya uchaguzi? I hope wana mpango madhubuti, itakuwa shame kwa ambao ceiling yao ya kisiasa itakuwa imefikia kikomo.
Hawa jamaa wameandamwa na kila aina ya kebehi toka waseme wazi kuwa hawakubaliani na mwenendo wa chama chao cha awali. Ingawa walisema wako tayari kuunga mkono maamuzi ya chama chao, bado wakawa wanatukanwa. Huo ndio uhalisia. Wamefanya uamuzi wa busara kujitoa kwenye chama ambacho dhahiri kilikuwa hakiwataki. Hata Nyerere alisema, CCM sio mama yake. Ikimzingua ataachana nao. Hawa wamezinguliwa na wameamua kuachana na wenzao.Kwa hoja yao ya Leo unadhani kilikuwa ni kisingizio ama ndiyo ulikuwa ni uhalisia?
CHADEMA siyo gereza, wanaotaka kutoka hawafanyi kosa lolote lile!
ndio ujing wenu pro Lisu, badala ya kuwaunganisha wanachama wenu mnakazania matusi. Nendeni basi mkamtoe Lisu gerezani kama ni mashujaa. Mnakuwa mashujaa wa matusiMission ya kuhamia cuf imepamba moto rasmi na nusu mkate juu!!!
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, John Mrema na Julius Mwita
View: https://www.youtube.com/live/Z_apgr0qkZM?si=Lj9DabbYPf6LP8KC
View attachment 3326774
===
Updates
Katika mkutano huu na waandishi wa habari wajumbe wote wa sekretarieti ya CHADEMA Taifa iliyopita wapo isipokuwa watu wawili ambao ndiyo hawakuwepo hapo kwa mujibu wa John Mrema. Ambao ni;
Wanaeleza kuwa baada ya ushindi, Freeman Mbowe alikubali maridhiano yawepo mara baada ya makundi yaliyopo wakati wa kampeni, ila walishangazwa na kumuona aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti Tundu Lissu aliendelea kumshambulia Freeman Mbowe kama vile kampeni bado zinaendelea, ameeleza Benson Kigaila.
- Catherine Ruge - Aliyekuwa Katibu Mkuu BAWACHA-Taifa
- Julius Mwita - Aliyekuwa katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa
- John Mrema - Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje
- Salum Mwalimu - Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu CHADEMA, Zanzibar
- Benson kigaila - Aliyekuwa Naibu katibu mkuu CHADEMA, Bara
View attachment 3326841
Kigaila anaendelea kueleza kuwa Kuna makundi ngazi ya chini kwenye chama wana vikao vya kuwaengua ama kuwafuta uanachama wanachama waliokuwa wanamuunga mkono Freeman Mbowe.
Wanaeleza pia kuwa ndani ya Chama kuna udikteta uchwara na hivyo wapo kwa ajili ya kuupinga udikteta huo ndani ya chama. Aidha hakuna haki ya kusikilizwa ndani ya chama wala hakuna haki ya watu kuhoji na wanaofanya hivyo wanaitwa wasaliti, njaa. Wanahoji Je, kati ya wao na aliyepinga maridhiano chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe nani msaliti?
G-55 wanasistiza kama unataka kuzia uchaguzi na hakuna mkakati wa kuzuia uchaguzi maana yake umeamua CCM wapite bila kupigwa.
Rasmi wamesema wamejiondoa CHADEMA lakini hawatokwenda CCM, muda ukifika wataeleza ni wapi wanapohamia. Sababu kubwa ni kutokutaka kuwa sehemu ya kifo cha CHADEMA kutokana na yanayoendelea. Hayo yamesemwa na Benson Kigaila aliyekuwa Naibu katibu mkuu Chadema (Bara)
View attachment 3326835
Soma pia:
Mbona CDM inasema ina wanachama mamilioni na wote wanaongea lugha moja. Sembuse hawa 55?Umewaza kifalsafa sana. Yaani hakuna mfuatano wa watu zaidi ya 50 kwa mkupuo Kwa nasibu.
Hamna mwenye chadema yake, ni chama cha watanzania woteAya Sasa wenye chadema Yao wanaondoka ww mwenzangu na Mimi wangojea nn
Ukweli wanashangaza sana.ndio ujing wenu pro Lisu, badala ya kuwaunganisha wanachama wenu mnakazania matusi. Nendeni basi mkamtoe Lisu gerezani kama ni mashujaa. Mnakuwa mashujaa wa matusi
Let us wait and see...na sasa ccm watahakikisha Lisu hatoki na leo ili chadema ilegee kabisa. Wanakosa busara wote, wote waliobaki...only Mbowe alikuwa na busara, hawa makelele majukwaani..... Tibaijuka aliwashauri hivi: Pick the low hanging fruits................ndiyo ingelikuwa approachUkweli wanashangaza sana.
Amandla...
Huyo sio mwanasiasa ni mjasiriasiasa.Sijaona mmasai mwenye njaa kali kama Joan Mrema 😂